Dhh jamaa noma . Ana kiburu kabisa
Lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm, kiakili, Personality, Kiuchambuzi ...hebu nitajie mbunge yoyote wa ccm anaemkaribia uwezo huyo jamaa
itakuwa shemeji kesha kupa ile kitu ya miezi tisa,sio bure huko kutapika tapikalissu haoneshi usomi wake bali ujinga. ni jitu lenye kiburi, jeuri.... hadi najihisi kutapika!
Vichwa kama Lissu ndo vitaifanya Rasimu ya Katiba ipingwe vikari na CCM, hebu niambie kwa mtu kama Lisu kuwepo Bungeni alafu Bunge liwe na Spika HURU!!!!!!!!.
lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm, kiakili, personality, kiuchambuzi ...hebu nitajie mbunge yoyote wa ccm anaemkaribia uwezo huyo jamaa
Tatizo bi kiroboto anatumika sana,tangu lini akili ndogo ikaongoza akili kubwa,big up Tundu Lissu wamezima mike ila tumekusikia..
lissu haoneshi usomi wake bali ujinga. ni jitu lenye kiburi, jeuri.... hadi najihisi kutapika!
Hamna.
mnapenda kupakatwa,mpaka 2015 tutawasaula kila kitu mbakie chama cha historia,ccm ni janga linalohitaji tibampuuzi....
Halina ubishi mkuu ni suala la muda tu tuyazike rasmi magamba ngome yao ya mtwara sasa hivi wamekuwa majambazi,raia wamewachoka vya kutosha hata jangili kinana anajua hilo...Namuonea huruma sana bi Kiroboto, kati ya wanaccm walioipotezea ccm umaarufu kwa kiwango kikubwa ni Viongozi was bunge. Wamekuwa wakionyesha Udhaifu wa wazi kiasi wananchi wanajenga hasira na maamuzi yanayofanywa na viongozi hao.
Kuipa ccm adhabu itakayo waadabisha ni Kusema hapana ccm kwenye sandukua Kura.
Na hilo wameshaliona ndio maana wameanza kulalamikia rasimu ya katiba yenye mawazo ya wananchi sasa wanataka itungwe katiba inayoibeba ccm. Tuseme HAPANA katiba ni ya Watanzania sio ya ccm
Uendeshaji wa Bunge leo ulijidhalilisha,nasema bunge limejidhalilisha,Spika amejidhalilisha kwa kuwa huwezi kuzuia ukweli kwa uongo na njia haramu zisizo za kikanuni.Kitendo cha kumzimia kipaza sauti msemaji wa upinzani ktk masuala ya sheria bungeni Mh Tundu Lissu ni KUMUOGOPA na KUMUHOFIA katika muktadha wa KUMUAMINI.Wananchi kwa kitendo cha Spika kumzinga na kumzimia mike Lissu wakati akieleza ukweli kuwa kuna njama chafu za Ccm dhidi ya ushindi wa wagombea wa cdm kortini tumeamini kuwa Ukweli Unauma na IMEKOSEKANA MBINU YA KUMDHIBITI LISSU.Nadhani Makinda alisema 'There's no obtion'.Swali_Spika ametumia kanuni ipi kuzima kipasa sauti cha Lissu wakati akiongea? Kama ni siasa Mbona Mwigulu huwa hazimiwi akiwehuka dhidi ya chadema? Kwa nini asingempa adhabu Lissu? NAMTAKA SPIKA AINGIZE KTK KANUNI ADHABU HIYO.Poor udhaifu wa Makinda.
Hahaha... nimesha saini tayari, na nimesha chukua changu.
Hii ID leo people wamehack au , mbona sielewielewi hapa.