Tetesi: Lissu anaumwa

Tetesi: Lissu anaumwa

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,121
Reaction score
9,593
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.

Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.

Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
 
Duh !.
 
Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
 
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.

Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.

Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Kilq siku mnaleta drama mpya baada ya kuona NRNE imepoa

At some point mlishamuua hasi makamu we tu wa rais

Ni lini mtajua na utu?

Kuna siku atajiua Halafu awaachie msala
 
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.

Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.

Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Samia keshafanya mambo take, moto utawasaidia kuuzima
 
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.

Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.

Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Pole yake! Mungu amponye!
 
Back
Top Bottom