Hii ilikuwaje?Hasa wadhulumati waliouza nyumba za umma mpaka zingine wakawagawia mahawara zao.
Lissu akiingia madarakani atalishugulikia hili kwa nguvu zote.
Lisu hana uwezo wa kushinda kesi bila kuwahonga mahakimu.Anaadhani akiwa Rais atakua anafungua makesi tu mahakamani.
Madalaka yepi hayo wazungumzia ndugu?Hasa wadhulumati waliouza nyumba za umma mpaka zingine wakawagawia mahawara zao.
Lissu akiingia madarakani atalishugulikia hili kwa nguvu zote.
Madalaka ndiyo nini ?Madalaka yepi hayo wazungumzia ndugu?