Lissu anafanya siasa za maji taka

Lissu anafanya siasa za maji taka

Angetuwekea listi nzima ya maafisa waandamizi serikalini wakiwemo mawaziri, tuanze kuangalia koo zao, makabila, na kanda zao. Then tupige hesabu wa ukoo wa magufuli ni asilimia ngapi, wasukuma ni asilimia ngapi, na kanda ya ziwa ni asilimia ngapi, then tuangalie sifa zao kama walistahili hizo nafasi au la, na vilevile tuangalie kama wote wamefika hapo walipo kwa upendeleo wa magufuli. Vinginevyo ataonekana mropokaji tu anayetafuta cheap popularity..
 
Swali la kawaida "HIVI WALE WALIOSEMA SAS HAWEZI KUPATA URAIS WA NCHI HII KWA KUWA NI MWARABU TL ALIKUWEPO? NA JE WALE WALIOSEMA RAIS HAWEZI KUTOKA KASKAZINI TL ALIKUWEPO?"
What goes around comes around.... Walioanzisha sasa yamewageukia wanatafuta wa kufa nae kama kwamba wao hawahusiki na baguzi zote walizoanzisha!! Nani hajui waliwahi kudai CUF ni chama cha UDINI kama walivodai msimu uliopita kuwa CDM ni chama cha UDINI!!! Inashangaza sana hii nchi yetu ya vi-wonder!!
WANAOJENGA UBAGUZI NA KUUENZI WANAJULIKANA NA HAWAKUANZA LEO HUU NI MWENDELEZO.
 
Hivi mtu akiwa Rais ndugu zake hawaruhusiwi kuajiriwa Serikalini? Lissu kashindwa kukosoa ujinga wa kindugu ulio hata ktk chama chake? Yeye dadaake alipewa ubunge kipindi kile kwani hapakuwa na wanawake wengine ndani ya chama? Je kipindi Ndesamburo akiwa Bungeni na mwanae na mkwe wake Lissu hakuona? Vp udikteta wa Mbowe huko chadema huyu Lissu hajaona? Mpuuzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata alipo ibua mambo ya ufisadi na mengine mengi serikali za utawala ulio pita mlimkebehi na kumtukana.
Leo mnajisifu Ccm kwamba tumepata rais anae washughulimia mafisadi. Bila kujua mlitokwa na povu hadi kuwatoa wabunge wa upinzani ukumbili ili mhalalishe haramu.
Kuweni na soni Lumumba team. Msijitoe ufahamu.
Hebu kwenye utawala wa baba wa Taifa wekeni list ya wana familia alio wapa madaraka makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwakuwa kinafanyika sasaiv ni kibaya. Ila ingekuwa kipindi kile ingekuwa safi. Kuwa mfuasi wa chadema inatakiwa uwe umevulugikwa na akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wasio muelewa tundulisu nivilaza na minafiki namimbulula na ndiyo ina vuluga tanzania yetu.
 
Unalinganisha mfumo wa utawala wa marekani na Tanzania? Punguani kweli wewe. Federal government inaplay role ndogo kwa internal affairs huko marekani kwahiyo ni sawa hata Trump alivyomteua mkwe wake kuwa mshauri wake.halafu wenzetu ni wastaarabu huwezi kuwalinganisha na wasukuma Hawa ndani ya miezi sita kaanza kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake . Tofauti na hapa ambapo pesa yote ya serikali za mikoa na mitaa hupangwa na mtu mmoja tu na mjomba wake. Shame
mmerogwa??JF imekuwa sehemu ya matusi badala ya hoja!?I hate this
 
UKWELI UNAUMA JAMANI, KIUKWELI HILI SUALA LA UPENDELEO NA UKABILA NIMELISIKIA MARA NYINGI SANA KWA WANANCHI HASA KATIKA VIJIWE VYAO VYA MAJADILIANO, LISSU NI KAMA AMEWASAIDIA WANANCHI KUPAZA SAUTI ZAO..

NB: HATA NYERERE ALIJUA KUWA KUNA MAKABILA HAYAPASWI KUPEWA NYADHIFA ZA JUU KAMA URAIS.. KWA KUWA DAMU ZAO ZIMEJAA UKABILA KULIKO UTAIFA..
MAKABILA HAYO NI:
1. WASUKUMA
2. WACHAGA NA
3. WAHAYA.
..TAZAMA OFISI YOYOTE INAYOONGOZWA NA MTU YEYOTE KATI YA MAKABILA TAJWA HAPO JUU THEN ANGALIA IDADI YA WAFANYAKAZI WA TAASISI HUSIKA, KABILA MOJA.
TUBADILIKE WATANZANIA, UKABILA HULETA MACHAFUKO.. KWA HYO NDUGU ZETU WAHAYA, WACHAGA NA WASUKUMA, BADILIKENI.
 
Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.

Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025

Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.

Chikawe Jr.

Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
kati ya sizonje na lisu NANI alianzisha siasa za maji taka?
Tuanzie hapo hasa ubabe ubabe kwa wenzio kisa umeshika mpini, unategemea wenzio watumie/wafanyaje nini??
 
WE MJANJA, WAKIGUSA TU; MAFUTA YA PETROL hata tuliolala tutaamka, ndio njia waliotaka wapinzani waipite, SASA WANAIPITA KIVYAO. Hakuna mikutano wala shughuli za kisiaza mpaka 2020, hapa kazi tu.
Wamuache tu aongee mpaka atachoka lakini HAKUNA mikutano ya siasa wala nini mpaka atanyamaza mwenyewe.Si unaona yule dada wa US kaaandika wee kupata umaarufu mwishowe kajichokea kaona aende kufanya kazi apate dollars tu now.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom