Lissu anafanya siasa za maji taka

Lissu anafanya siasa za maji taka

*Kanda ya Ziwa
Rais Nchi :Kanda ya Ziwa
Rais wa BMT -Kanda ya Ziwa
Rais wa Riadha:Kanda ya Ziwa
Mkuu wa Majeshi:Kanda ya Ziwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi:Kanda ya Ziwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar :Kanda Ya Ziwa
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu :Kanda Ya Ziwa
Mkurugenzi wa Mhimbili :Kanda ya Ziwa
Mkurugenzi wa wilaya ya Mbulu :Kanda ya Ziwa
Mkurugenzi wa TBC :Kanda Ya Ziwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali:Kanda ya Ziwa
Mkurugenzi mkuu wa Mashitaka:Kanda ya Ziwa
Mkurugenzi wa makosa ya jinai:Kanda ya Ziwa
Mkurugenzi wa kituo cha uwekazaji (TIC) :Kanda ya Ziwa
Rais wa shirikisho la wafanyakaz TUCTA:Kanda ya Ziwa
Rais wa CHAMA cha Walimu :Kanda ya Ziwa
Makam mkuu wa chuo UDSM:Kanda ya Ziwa
Mkurugenzi wa Sayansi:Kanda ya Ziwa
Naskia Admin wa Hili group nae
Mkurugen Mkuu wa NIMR:Kanda ya Ziwa
Wazir aliyekagua vyeti fake:Kanda ya Ziwa
Kaimu Mkuu wa chuo cha Mipango:Kanda ya Ziwa
Kama sio ukabila basi ni ukanda...
 
Hili la ukabila na ubinafsi linahitaji darubini?
Tatizo mtu akisema ukwel mnamuita Mchochez
Af co lazima umwelewe....kama hujamwelewa lissu nyamaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.

Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.

Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.

1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.

2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.

Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?

Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.

Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025

Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.

Chikawe Jr.

Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
Mmoja kati ya mataahira wa Lumumba. Siasa za uchwara sasa utaziitaje?
 
mkuu umetoa hoja bahati mbaya hujatoa facts!

facts tunazozihitaji je ni uzushi pay master general sio mpwa wa mkuu? je ni uzushi kuwa CDF, Head wa TISS, IGP, Wanatoka ukanda huo?

Hoja kosozi kama inatoka nadhani hatua stahiki ni kuchua hatua na kurekebisha sio kubishana na facts ambazo kila mtu mwenye akili timamu anaona!

True....

Na bado anapiga chapuo la kumteua Jaji mkuu kutoka hukohuko ndani ya ukoo wake !!

Hamuelewi ni kwa nini tuna kaimu Jaji Mkuu for almost one year now kinyume kabisa na kawaida na pengine na katiba ?

Simple. Anasoma uelekeo wa upepo, aweke mjomba wake..... lakini nahisi kwa kombora hili la TL, leo atanywea.... wallahi, na wangoni this time wanatoa Jaji Mkuu hyakanani vile !!

Huyu Uchwara ni hatari kuliko walioanzisha wizi wa Makinikia JK na BM.... Yeye yuko too defensive mapema mapema kabisa....

Hongera TL kwa kuwa jasiri wa kumchapa huyu bwana mchana kweupe....
 
Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.

Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.

Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.

1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.

2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.

Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?

Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.

Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025

Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.

Chikawe Jr.

Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
Hongera sana!! Nimepitia tamko la serikali kuhusu propaganda za Lissu na andiko lako hili na nikiri ya kuwa wewe umejitahidi angalau kujaribu kujibu aliyosema Lissu.
Umejaribu kuainisha kila hoja na kutoa ufafanuzi kwa kadri ya ulivyoweza.
Jana niliogopa kuonyesha niko upande gani nikitegemea serikali itashusha nyundo la kusambaratisha hoja zote lakini bahati mbaya serikali imeniangusha.
Naamini Lissu atajibiwa katika majukwaa ya mikutano wakati wa uzinduzi wa miradi na naamini atajibiwa katika lugha ambayo itatuonyesha sura halisi ya serikali yetu!! Tusubiri kidogo.
 
True....

Na bado anapiga chapuo la kumteua Jaji mkuu kutoka hukohuko ndani ya ukoo wake !!

Hamuelewi ni kwa nini tuna kaimu Jaji Mkuu for almost one year now kinyume kabisa na kawaida na pengine na katiba ?

Simple. Anasoma uelekeo wa upepo, aweke mjomba wake..... lakini nahisi kwa kombora hili la TL, leo atanywea.... wallahi, na wangoni this time wanatoa Jaji Mkuu hyakanani vile !!

Huyu Uchwara ni hatari kuliko walioanzisha wizi wa Makinikia JK na BM.... Yeye yuko too defensive mapema mapema kabisa....

Hongera TL kwa kuwa jasiri wa kumchapa huyu bwana mchana kweupe....
Go Go Go lissu, kenge bila kutoka damu masikioni Huwa hasikii!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.

Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.

Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.

1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.

2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.

Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?

Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.

Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025

Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.

Chikawe Jr.

Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
 
Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.

Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.

Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.

1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.

2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.

Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?

Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.

Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025

Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.

Chikawe Jr.

Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
Hivi aliyesema "wachaga"wamejaa crdb alikuwa anakusudia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kuna ukweli mwingi wa maana ambao Lisu hausemi kuliko kuliko ukweli kidogo anaoujengea hoja kupotosha!!Kutangaza hadharani kuligawa Taifa ni uhani, ni ajabu tu kwamba mpaka sasa yupo mitaania anakula good time!Ni vizuri tukakosoa kimantiki, maana hata marekani Trump ameweka wanawe na wakwe zake ikulu kama washauri na haitwi mkabila!
Unalinganisha mfumo wa utawala wa marekani na Tanzania? Punguani kweli wewe. Federal government inaplay role ndogo kwa internal affairs huko marekani kwahiyo ni sawa hata Trump alivyomteua mkwe wake kuwa mshauri wake.halafu wenzetu ni wastaarabu huwezi kuwalinganisha na wasukuma Hawa ndani ya miezi sita kaanza kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake . Tofauti na hapa ambapo pesa yote ya serikali za mikoa na mitaa hupangwa na mtu mmoja tu na mjomba wake. Shame
 
Back
Top Bottom