Aliposema ESCROW ni pesa za Umaa - mkamwita mtafuta kiki Bungeni huku mapovu yakiwatoka mdomoni na masikioni - sasa kwa mfano huu mmoja tu yatosha kutuaminisha kwamba kauli za Lissu hazijawahi kutuangusha sisi wananchi wa Tanzania hata mara moja.
MSAHAU MAANA HATA SISI WANYIRAMBA PAMOJA NA KUMPA KURA KILA SIKU ANATUTENGUA TEUZI!kwa hiyo sisi wangoni huku Songea ndio imekula kwetu!...wanaokula bata ni wasukuma tu?
Kwakufanya hayo mtakuwa mnajibu hoja mjarabu za Tundu Lisu?Huyo Lisu ni wakucheleweshewea mishahara na posho kwa miezi kama sita
Kila atakapo enda kuulizia ambiwe account yake au check number ina matatizo
Nadhani kuna ukweli mwingi wa maana ambao Lisu hausemi kuliko kuliko ukweli kidogo anaoujengea hoja kupotosha!!Kutangaza hadharani kuligawa Taifa ni uhani, ni ajabu tu kwamba mpaka sasa yupo mitaania anakula good time!Ni vizuri tukakosoa kimantiki, maana hata marekani Trump ameweka wanawe na wakwe zake ikulu kama washauri na haitwi mkabila!Anayetugawa ndiyo huyo unayetaka tuungane naye.!Bora niungane na Lissu kuliko huyo Mkabila,mbaguzi,Mwenye chuki na visasi.
Hata wenye akili ndogo tunaona.Bora Lissu anautapika ukweli japo mchungu kuumeza.
Uzuri wa TL ni mkweli to the Maximum
Nadhani kuna ukweli mwingi wa maana ambao Lisu hausemi kuliko kuliko ukweli kidogo anaoujengea hoja kupotosha!!Kutangaza hadharani kuligawa Taifa ni uhani, ni ajabu tu kwamba mpaka sasa yupo mitaania anakula good time!Ni vizuri tukakosoa kimantiki, maana hata marekani Trump ameweka wanawe na wakwe zake ikulu kama washauri na haitwi mkabila!
Lissu ameonyesha ukabila wa Juma Pembe Maharage, na wewe onyesha ukabila wa Chadema acha blah blah!hebu jibu kidogo na hoj hiyo hapo ya ukabila wa chadema!
Hii identity ndio source ya matatizo. Inapocoment uwe unatumia akili zote sio za vidoleni tu. Jifunze kufikiri mkuu I salute u.
Lissu ameweka facts wewe unakuja na uzushi wa ajabu ajabu! Maendeleo hayawezi kutafutwa kwenye mazingira hayo!Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.
Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.
Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.
1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.
2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.
Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?
Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.
Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025
Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.
Chikawe Jr.
Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.
Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.
Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.
1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.
2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.
Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?
Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.
Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025
Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.
Chikawe Jr.
Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
Kuna ubaya gani?Mbona wewe MTUTSI hatusemi?
Lissu kaeleza vizuri sana jinsi huyu dhalimu alivyo mkabila wa kutisha.
Hawa wa ubunge wa cdm wamengombea kupitia jumuia zao wakachaguliwa huwezi linganisha na hawa wa huyu jamaa yako hata mkuu wa wilaya moja huko kusini kama sikosei anaitwa happy saneda ni mkuu wa wilaya lkn kuna sheria za matumizi ya serikali wenye maamuzi ni bunge lkn leo hakuna kitu kama hicho nini maana yake?kwann hujitambui ewe mpumbavu.hebu jibu kidogo na hoj hiyo hapo ya ukabila wa chadema!
Sio kweliHivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.
Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.
Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.
1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.
2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.
Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?
Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.
Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025
Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.
Chikawe Jr.
Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
Sijawahi kuona utetezi wa kiwango duni kama huu !Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.