Lissu anafanya siasa za maji taka

Lissu anafanya siasa za maji taka

Chikawe Jr

Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
23
Reaction score
85
Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.

Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.

Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.

1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.

2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.

Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?

Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.

Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025

Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.

Chikawe Jr.

Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
 
tupe dissertation (research) yako...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Anayetugawa ndiyo huyo unayetaka tuungane naye.!Bora niungane na Lissu kuliko huyo Mkabila,mbaguzi,Mwenye chuki na visasi.

Hata wenye akili ndogo tunaona.Bora Lissu anautapika ukweli japo mchungu kuumeza.

Uzuri wa TL ni mkweli to the Maximum
 
hebu jibu kidogo na hoj hiyo hapo ya ukabila wa chadema!
 
Huyo Lisu ni wakucheleweshewea mishahara na posho kwa miezi kama sita

Kila atakapo enda kuulizia ambiwe account yake au check number ina matatizo
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/0c44681143691ee6082b1db769ec3dc4.jpg[/IMG chama chakavu akili zenu kma makinikia mnakurupuka tu kma wacheza vigodoro,tulieni dawa iwaingie

Sent using [URL=http://r.tapatalk.com/byo?rid=77694]Jamii Forums mobile app[/URL]

Hata alipo ibua mambo ya ufisadi na mengine mengi serikali za utawala ulio pita mlimkebehi na kumtukana.
Leo mnajisifu Ccm kwamba tumepata rais anae washughulimia mafisadi. Bila kujua mlitokwa na povu hadi kuwatoa wabunge wa upinzani ukumbili ili mhalalishe haramu.
Kuweni na soni Lumumba team. Msijitoe ufahamu.
Hebu kwenye utawala wa baba wa Taifa wekeni list ya wana familia alio wapa madaraka makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni kumesambaa clip inayomuonyesha Tundu Antipas Lisu akiongea na kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa Rais wetu Mpendwa ni Mkabila habari ambazo si za kweli. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtanzania ana kabila lake na hakuna kabila lililobora kuliko lingine. Toka enzi za Mwalimu, Hayati baba wa taifa nchi hii imezingatia sana umoja uliovuka mipaka ya undugu na ukabila.

Aidha serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa nafasi kwa makabila yote kwa kuzingatia nafasi zilizopo kwani ni ukweli usiopingika kuwa haiwezekani watanzania milioni 50 wote tukawa katika ofisi za serikali. Wote tumekubali kuwakilishwa na baadhi yetu katika nyazifa na nafasi mbalimbali za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Kila kabila lina watu katika ofisi za UMMA na kwamba watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika ujenzi wa taifa bila kujali mipaka ya makabila yetu.

Kwa mtu mwenye akili kabisa ni vigumu kukubali uzushi unaonezwa na Tundu Antipas Lisu kwani una lengo la kutugawa na kupandikiza mbegu mbaya kwa kizazi hiki na kijacho. Aidha nimeita huu ni uzushi kwa sababu kuu 2 za msingi.

1) Sio kweli kwamba Rais anachagua mtu kwa upendeleo ambao Tundu lisu anauita ukabila. Hii ni kutokana na uwepo wa idara nyingi za serikali ambazo wakuu wake hawana nasaba au asili ya kabila na Rais. Mfano, Bank Kuu, TRA, TPA, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, TISS, nk. Huko kote kuna watanzania ambao ni wakuu wa taasisi hizo ambao sio wasukuma.

2) Sio jambo la ajabu kwa Rais kumchagua mtu ambaye sio tu anaelimu na uzoefu bali yule atakayefanya kazi anayomtuma kwa uaminifu na uzalendo mkubwa. Kuna baadhi ya kazi haziitaji weledi na wingi wa vyeti isipokuwa uaminifu wa hali ya juu. Sio jambo baya Rais kumuweka mtu yoyote ambaye atafanya kazi kwa uaminifu thabiti hata kama ni Mwanae wa kumzaa.

Lakini watanzania tujiulize haya, leo hii Tundu lisu anaeneza uzushi huu huku akijifunika unyasi na kuzani watanzania hawaelewi. Mbona katika Chama chao (CHADEMA) Tundu lisu na Dada yake ni wabunge? Mkwe wa Mzee mtei (Freeman Mbowe)ni Mwenyekiti? Mke wa Dr Slaa alikuwa Mbunge na Dr. Slaa Katibu mkuu? na wengine wengi lakini hasemi?

Tundu lisu usitupotezee muda tuko kwenye kuyatafuta maendeleo ya kweli Siasa zako za Taka awamu hii sio mahala pake. Toa kwanza boriti katika jicho la chadema ndio uone kibanzi kwa Rais Magufuli.

Tumemkubali tumemwelewa JPM FOR 2025

Mtanzania kataa kugawanywa na Tundu lisu, jiunge na JPM.

Chikawe Jr.

Sent from my MediaPad X1 7.0 using JamiiForums mobile app
mkuu umetoa hoja bahati mbaya hujatoa facts!

facts tunazozihitaji je ni uzushi pay master general sio mpwa wa mkuu? je ni uzushi kuwa CDF, Head wa TISS, IGP, Wanatoka ukanda huo?

Hoja kosozi kama inatoka nadhani hatua stahiki ni kuchua hatua na kurekebisha sio kubishana na facts ambazo kila mtu mwenye akili timamu anaona!
 
The best system is the one that maintains checks and balances.
Yawezekana haya yanayoonekana ni upendeleo yametokea bila nia mbaya au ikiwa ni makusudi.
Vyovyote vile, ni muhimu hiyo hali iangaliwe kwa lengo la kulinda umoja wa kitaifa badala ya kuitumia kushindana na kuongeza mpasuko.
Hivyo marekebisho yenye nia ya kujenga yanaweza kufanyika badala ya kushupaza Shingo kwa pande zote mbili.
 
Wanao mshabikia Lissu wengi wao hawajitambui kichwani
wengi wanafuata Mkumbo!
Anajaribu kuivuruga Nchi
Lakini kamwe hatafanikiwa
Amefika kubaya
Hawezi vumilika tena huyo

Kinacho endelea sasa mkuu ni Edward Lowassa na CHADEMA wanajaribu kujinasua kwenye tuhuma zao zile za uchochezi wa kidini kwa kumgeuzia mpira Raisi Magufuli kwa kutumia reference ya teuzi zake

Edward Lowassa na CHADEMA karibia watashitakiwa kwa makosa ya kuwataka baadhi ya watanzania wawe wa moto, na la kuwatetea viongozi wa kikundi cha itikadi kali (UAMSHO)
 
Huyu lissu huyu! Kunavitu vingine angevunga tu havijui. Anaongea ukweli paka anaboa.
 
CNLJ-xXWEAAPERZ.jpg
 
Back
Top Bottom