Lissu amlima barua Shibuda

Lissu amlima barua Shibuda

Nadhani hata kama wangeitisha mkutano wa wananchama wote wa chadema kuamua swala la shibuda nadhani 99.9999% watam dismiss Shibuda kutoka CDM. Sidhani kuna wakumlaumu katika maamuzi yatakayotolewa na kamati kuu.

Kama kamati kuu inaogopa kufanya maamuzi basi waitishe mkutano mkuu waamue tuone kama atachomoka.
 
CHADEMA mtimueni Shibuda am supporting 100% anatuboa pleasea maamuzi yafanyike haraka
 
busara ni kumwacha tu bila kufanya lolote. hata alipokuwa ccm alikuwa hivyo hivyo. tunaijua tabia yake mwacheni tu kuepuka migogoro
 
Shibuda is a ''gwandered gamba'', hakuwahi kujichanganya na wenzie popote pale zaidi ya kukwaruzana na kina Wenje kila kukicha.
Hapa Jf wapo tuliomshtukia kitambo tu.
 
Kuna tetesi hapa Dodoma zinaenea kuwa; Mbunge wa Maswa Mh. Shibuda anajianda kuomba RADHI rasmi mara baada ya kupokea barua kutoka kwa mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Mh. T.Lissu. Shibuda amemwandikia ujumbe mfupi wa simu ya mkononi SMS katibu wake ( katibu wa mbunge) akisema kuwa mambo yamekuwa serious ( barua ya Lissu) na amemuomba katibu wake ajitahidi kuandaa barua ya kuomba RADHI Chadema, ili jioni hii Shibuda aipitie, kwani -kijana huyo- ambae ni katibu wa shibuda ndie mwandishi wa hotuba ya shibuda. tusubili ikiwa tayari na shibuda kuisaini ( Kuikubali)tutaiweka peupe.
 
Shibuda kama ana akili timamu hatua kama hiyo nilikuwa naitegemea
 
Haya sasa atatakiwa kuomba kuanzia ile ya bagamoyo
 
Anatishia kuj*mb wakat anah**ha?. Hakuna radh hapo FUKUZA MWIZ YOOO! Wala hakuna haja ya ku2mia nguv hapo
 
Si alisema atafanya ziara nchi nzima kuianika CDM kwa wananchi? Hata akiomba radhi inabidi asamehewe kwa masharti mazito.
 
cdm kuchukua nchi ni ndoto ya alinacha, sioni walichonacho kipya zaidi ya kutaka baadhi ya watu wawe na sauti zaidi ya wengine, kwa nini kila mtu anaehoji cdm anagombana na mbowe?mbowe hutakiwi kuwa rais pole kaka

hapo umenena mkubwa.... Yani cdm wao hawataki kusimwa maovu yao humu ndani
 
Mawazo ya kutaka kukivuruga chama si mawazo ambayo Viongozi wa CHADEMA wanastahili kuyavumilia. Hakuna ushahidi wowote unaonyesha kwamba CHADEMA ni Chama Cha Wachagga. Fikiria athari kubwa kwa CHADEMA kama watamuachia Shibuda ambaye ni Mbunge wao kuendelea kumwaga sumu kila kona ya nchi kwamba CHADEMA ni chama cha Wachagga ni si ajabu akaongezea kwamba ni chama cha Wakristo. Sidhani kama atakuwa anakijenga chama chake bali atakuwa anakibomoa.

Let John Madale Shibuda go. He is a traitor!!!He is a CCM agent!!!

Shibuda Go! Go! Go! Go!
 
namshauri asiombe radhi asubiri kufukuzwa hafai kuwa mmojawapo wa viongozi wa mabadiliko,ni mnafiki asiyefaa hata chembe
 
km wabunge wangekuwa wanapigwa bakora na wapiga kura wao nina uhakika huyu jamaa SHIBUDA angecharazwa bakora nyingi sana, hadi watoto wa chekechea wangemuadhibu aisee.
 
Kick him out..usanii wake umepitiliza, ni hatari kwa afya ya chama na akiachwa madhara yake ni makubwa
 
KATIBA YA CHADEMAUANACHAMA:5.1 Sifa za kuwa MwanaChama5.1.1 Awe raia wa Tanzania.5.1.2 Awe na umri wa miaka 18 au zaidi5.1.3 Awe na akili timamu5.1.4 Awe anakubaliana na katiba, sera, kanuni na maadili ya Chama.5.1.5 Awe anakubaliana na Itikadi na falsafa ya Chama.5.1.6 Asiwe mwanaChama wa Chama kingine cha siasa baada ya kujiunga naAhsante mkuu kwa kutujuza.? Viongozi wakuu wa CDM wawe makini sana na hoja za Kibunda Msukuma. On my side swarp him away, he is lyk a bat.



Kuna haja ya Uongozi wa CHADEMA kuchunguza kama Shibuda alirudisha KADI YAKE YA UANACHAMA WA CHAMA CHA MAGAMBA-CCM!!! Yawezekana kabisa Shibuda ni mojawapo ya mashushu wa CCM waliokuja kukivuruga na kukiua CDM kabla ya Uchaguzi wa 2015.

Shibuda ameasi chama lazima aondoke! Hakuna Demokrasia isiyokuwa na mipaka. Shibuda John Madale lazima ang'olewe CDM maana anaonekana ni gamba la nyoka lililoshindikana CCM.
 
Hapo eeh ni kumkoma NYANI GILADI TU! Hakuna suluhu, CDM Imejitosheleza Kiutaratibu kwa hiyo taratibu zifuate mkondo wake! hakuna huruma kwa mtoto wa mtu. tupo vitani kama askari Ni Deseter anastahili firering squad ili iwe funzo kwa watu wa aina yake. no no sence!
 
Back
Top Bottom