Nachojua mimi wote ni wawakilishi wa wananchi,wanatofautiana kwa level of jurisdiction,lakini wote wamechaguliwa kwa mfumo mmoja wa sheria za uchaguzi na wote wana haki sana na ulindwa na sheria moja.Wewe na Slaa akili zenu sawa sawa, wewe unafananisha Mbunge na Mwenyekiti wa mtaa? Mbunge inamaana pia na ruzuku inapungua kichwa maji.
Hapa jf hapakufai, jaribu kufanya uandishi huu katika mifumo mingine kama fbBado ana magamba huyo so kama hataki kujisugua aondoke coz cdm is after peples not 4selfishness. Na haiwezekani kumezea maovu ya m2 kisa2 anawafuasi wengi.u shibuda chadema so kama kule ambako EPA ili2mika kurefund magamba alafu mka2zuga eti zimepotea. Sawa eee, so kaa mkao ppo power itakungoa
Asalam aleikum,Kuangalia sheria inasemaje kunahitaji mwanasheria mkuu.hapa haitaji wanasheria bali kuangalia sheria zinasemaje.
Asalam aleikum,Kuangalia sheria inasemaje kunahitaji mwanasheria mkuu.
Nakushauri upitie katiba ya Tanzania usome ibara ya 100 inasemajeWatu wanaangalia kwa macho ya makengeza hapa inabidi tuache ushabiki wa vyama na kuelewa kuwa Rais,Mbunge,Diwani na mwenyekiti wa serikali za mtaa wanaweza kufukuzwa na vyama vyao na kukosa kabisa sifa ya kuendelea na uwakilishi wa wananchi waliowachagua,labda uwakilishi wake ungekuwa umetokana na ugombea binafsi,utalatibu ambao hautumiki hapa nchini kwetu!!
Hapana! Swala la kuongea bungeni haliusiki hapa, wanachomfukuzia ni swala la kwenda kinyume na maamuzi/msimamo wa chama chake. Kuna mengi sana, mfano kutoshiriki maandamano ambayo yameandaliwa na chama!
Wewe na Slaa akili zenu sawa sawa, wewe unafananisha Mbunge na Mwenyekiti wa mtaa? Mbunge inamaana pia na ruzuku inapungua kichwa maji.
Watafanikiwa kumuondoa iwapo tu, hawatatumia maneno aliyotamka bungeni kumhukumu. Otherwise atateleza kama kamongo.Kumbuka alitoa matamshi akiwa Bungeni, huwezi kumwadhibu kwa neno lolote hata kama chafu kiasi gani, ili mradi alikuwa Bungeni. I stand to be corrected!!