Lissu ni mzalendo namba moja kwa kweli....Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya viongozi wa serikali
Ukweli Tundu atafia jela?Huo ndiyo ukweli.
...kweli kesi hiyo ni nzito, na hukumu yake ni kifo vilevile ni kweli anacho kipaji cha kujieleza lakini kipaji chake hakipo kwenye mashitaka.Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo.
Itasikitisha sanaAkifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi
...eeh mang'ana🔥😅 CHADEMA mnamikwara sanaMama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia.
Oho, na yale "makabrasha" ya Tundu yatajumuishwa?Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya viongozi wa serikali
Gentleman,Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya viongozi wa serikali
Swali la kizushi:hawa jamaa wako tayari kuua watu ata 100000 ilimradi wasalie madarakani.
Na anapenda kuongelea mambo ya kihistoria ambayo hawapendi tuyakumbuke.Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo.
Afe tu, hana faida yoyote.Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya viongozi wa serikali
Mkuu Mundu,@kamundu ile siku mtu unazaliwa,kila kitu chako kinakuwa kimepangwa na mapito yako yote utakayo yapitia,yameandikwa, ikiwemo,utakufa lini, utakufa wapi,na utakufaje, kila mtu atakufa saa yake ikifika,malaika mtoa roho, Israeli,humptia kila mtu kila siku kwa saba mara sabini,ili saa yako ikifika,asizidishe hata nukta moja!Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya viongozi wa serikali
Gentleman,
afe mtu awaye yeyote as long as ni mwanadamu, atazikwa na kusahaulika na maisha ya walio hai yataendelea kama kawaida bila kujali hizo porojo za pata potea
...akifa kesho itakuwa kwa sababu za sera zao CHADEMA za kususasusa-Gentleman,
afe mtu awaye yeyote as long as ni mwanadamu, atazikwa na kusahaulika na maisha ya walio hai yataendelea kama kawaida bila kujali hizo porojo za pata potea 🐒
Yaani hawa ni mafala sana wanawekeza akili, muda na imani yao kubwa kwa wanasiasa kuliko hata wao wenyewe.Saa Tisa usiku bado ako na siasa .hivi wake zenu wanawachukuliaje?
Kiongozi una sh ngapi kwenye account?Yaani hawa ni mafala sana wanawekeza akili, muda na imani yao kubwa kwa wanasiasa kuliko hata wao wenyewe.
Na wewe uliye comment mida hiyo mkeo anakuchuliaje?Saa Tisa usiku bado ako na siasa .hivi wake zenu wanawachukuliaje?