Lissu akanusha kuhutubia Bunge la Ulaya

Lissu akanusha kuhutubia Bunge la Ulaya

Yaani CHADEMA mnatia huruma kwa kujifariji na Mambo yasiyowezekana, unafikiri ICC inaweza kuingilia uchaguzi wa ndani ya nchi uliofanyika kwa kufuata katiba ya nchi husika? Kama hapakuwa na massive killings ICC haiwezi hata kukohoa.

Mnachoshindwa kuelewa mbinu kubwa ya Lissu alitaka watu wengi wasapoti maandamano ili serikali ireact yatokee mauaji mengi then apate justification ya kushawishi jumuia za kimataifa ikiwemo ICC kuingilia Kati. Ndio maana tangu mwanzo wa kampeni zake alishawishi watu kuingia barabarani.

Sasa ameona strategies zake zimebuma ameamua kuondoka kwa kisingizio cha maisha yake kuwa hatarini. Hivi mtu ashindwe kukuua wakati mnapambana ulingoni (na uwezo anao), aje akuue wakati tayari ameshakushinda na mkanda amekabidhiwa atakuwa na akili kweli huyo mtu.
 
Ningeshangaa! Yeye ana hadhi gani ya kimataifa mpaka apewe nafasi ya kuhutubia katika Mabunge makubwa kama EU na US?
 
Mambo mengine msiwe mnajizungumzia tu kutokana na ushabeki husio na mantiki - hivi miaka yote hii hujawahi kusukia mabunge hayo yakitoa fulsa kwa wana harakati wa kawaida tu kuhutubia?

FYI Tundu Lissu is the internationally respected expert on human rights and the environment lawyer -aliwahi kufanya kazi at the World Resources Institute in Washington, DC. Kwa kifupi: Lissu ni mwana harakati wa siku nyingi na anafahamika sana kimataifa, nawashangaa sana wanao jaribu kumbeza beza na kujaribu kuonyesha kana kwamba Lissu hajui alifanyalo, yupo yupo tu kazi kulalama - dhana hizo hazina ukweli wowote zaidi ya propaganda za kitoto na ukosefu wa akili za ku-analyse mambo/matukio kiundani zaidi.

Niwakumbushe tena kwamba Lissu is a good orator na anajua sana kujieleza na kujenga hoja, kuna maseneta huko Merikani wanao support hoja na malalamiko ya Lissu mmoja wapo ni mwana mama anaye wakilisha jimbo la California na kibaya zaidi Ushindi wa Biden ndio unaweza kutuletea balaa zaidi Taifa letu ikiwa Lissu atafanya mbinu za kukutana na Biden kwa kupitia washauri wake wa karibu kama: makamu wa Biden Bi Kamala Harris, rafiki wa karibu wa Familia ya Biden Mr. Obama na Mkewe - sasa angalia kitu kingine, ni hivi: Rais Biden, Bi Kamala Harris, Barak Obama, Michille Obama hao wote walio tajwa hapo juu pamoja na Tundu Lissu ni wanasheria by Profession - wakale walisema birds of a feather flocks together hawatupani hata siku moja, kitu kingine ukichunguza utabaini list yote including seneta wa California wana asili ya Africa save Rais Joe Biden - sasa hii inaleta picha gani - ni wazi kwamba Lissu aki-pursue suala lake aggressively Taifa letu linaweza kuwa slapped with punitive sanction kama za Iran na Venezuela - USA akiwashawishi marafiki zake tunaweza kukosa pa kupumulia nawambieni.

Sasa nini maoni yangu - Viongozi wetu wajitahidi kumushauri Lissu kwamba malalamiko yake hasiya yapeleke mbali, arudi tu nyumbani atahakikishiwa usalama wake ili wakae meza moja ya maridhiano na Dk.Magufuli na washauri wake - ili wayamalize kiutu uzima, basi. Tukumbuke kwamba odds za Taifa letu kuwekewa kibano cha uchumi ni mkubwa sana therefore ni bora ku-nip in the bud suala la Lissu the soonest kuliko kuendeleza Political rhetoric na mipasho ya taarabu - unafiki wa kujipendekeza hauwezi kutufikisha popote kama Taifa. My opinion.
 
FYI Tundu Lissu ni mwana harakati wa siku nyingi na anafahamika sana kimataifa nawashangaa sana wanao jaribu kumbeza beza na kujaribu kuonyesha kwamba Lissu hajui alifanyalo yupo yupo tu kazi kulalama - hiyo si kweli hata kidogo.

Niwakumbushe tena kwamba Lissu is a good orator na anajua sana kujieleza na kujenga hoja, kuna maseneta huko Merikani wanao support hoja na malalamiko ya Lissu mmoja wapo ni mwana mama anaye wakilisha jimbo la California na kibaya zaidi Ushindi wa Biden ndio unaweza kutuletea balaa zaidi Taifa letu ikiwa Lissu atafanya mbinu za kukutana na Binden na washauri wake wa karibu kama: makamu wake Bi Kamala Harris, rafiki wake wa karibu Obama na Mkewe - sasa angalia: Bi Kamala Harris, Barak Obama, Michille Obama na seneta wa California wote licha ya kuwa na asili ya Africa wako vike vile karibu sana na Rais Biden
Kwa akili mavi kama hii yako CHADEMA mna safari ndefu sana
 
Matatizo ya vikwazo Yakija hayatabagua baba yake wala shangazi yake. Wote tutaumia kasoro yeye aliyekaa jirani nao. Kama Lengo ni kukwamisha maendeleo basi tusubiri.

..hawezi kupewa nafasi ya kuhutubia bunge la Ulaya, au Marekani.

..nafasi hizo hupewa viongozi wakubwa, mashuhuri duniani, tena toka kwa mataifa rafiki na nchi hizo.

..kwa kumbukumbu zangu, Anwar Saddat wa Misri, na Nelson Mandela wa Afrika Kusini, ndio viongozi pekee wa Afrika waliowahi kuhutubia bunge la marekani.

..Kwa historia hiyo utaelewa kwamba uwezekano wa Tundu Lissu kuhutubia bunge la marekani ni sawa na sifuri.

..Kinachoweza kutokea ni Tundu Lissu kupata nafasi ya kuzungumza na wabunge[senator, congressman] walioko ktk kamati zinazoshughulika na masuala ya Afrika. Vilevile anaweza kupewa nafasi ya kuzungumza na watendaji wa wizara ya mambo ya nje ya marekani idara ya Afrika.
 
Kwa akili mavi kama hii yako chadema mna safari ndefu sana

Typical skewed trolls who can hardly see beyond their noses - so sad!

Nani kakwambia mimi ni member wa CHADEMA - nani? Akili nyingine bwana! Yaani MTU anatuletea thread ya kitoto halafu unashindwa kuitetea badala yake una offend watu ambao wana maoni tofauti na ya kwako.
 
Fake news nyingi unaweza kujua ni fake either kwa kuitafakari mwenyewe na akili yako itakwambia tu hapo hapo kuwa hii ni fake kwa sababu hiyo news itakuwa haina mantiki.
Uwezo wa kuchambua mambo in 3D kwa watu wengi ni tatizo na wengi hushadadia jambo wanalopenda wao litokee hata kama kuna sauti flani vichwani mwao zinawaambia kwamba jambo hilo haliwezekani
 
Typical skewed trolls who can hardly see beyond their noses - so sad!

Nani kakwambia mimi ni member wa CHADEMA - nani? Akili nyingine bwana! Yaani MTU anatuletea thread ya kitoto halafu unashindwa kuitetea badala yake una offend watu ambao wana maoni tofauti na ya kwako.
Hahahaha yaani umeona kuna chochote umeandika cha maana hapo? Kwahiyo umeona Marekani ilikosa coordination ya Biden, kamala na huyo senator kuiwekea Tanzania vikwazo toka awali? Umeona issue kubwa kama hizi zinaendeshwa kisela hivyo? Lazima uwe na wana mnaoelewana kwanza kwenye crew? 🚮🚮🚮
 
Mambo mengine msiwe mnajizungumzia tu kutokana na ushabeki husio na mantiki - hivi miaka yote hii hujawahi kusukia mabunge hayo yakitoa fulsa kwa wana harakati wa kawaida tu kuhutubia?

FYI Tundu Lissu is the internationally respected expert on human rights and the environment lawyer -aliwahi kufanya kazi at the World Resources Institute in Washington, DC. Kwa kifupi: Lissu ni mwana harakati wa siku nyingi na anafahamika sana kimataifa, nawashangaa sana wanao jaribu kumbeza beza na kujaribu kuonyesha kana kwamba Lissu hajui alifanyalo, yupo yupo tu kazi kulalama - dhana hizo hazina ukweli wowote zaidi ya propaganda za kitoto na ukosefu wa akili za ku-analyse mambo/matukio kiundani zaidi.

Niwakumbushe tena kwamba Lissu is a good orator na anajua sana kujieleza na kujenga hoja, kuna maseneta huko Merikani wanao support hoja na malalamiko ya Lissu mmoja wapo ni mwana mama anaye wakilisha jimbo la California na kibaya zaidi Ushindi wa Biden ndio unaweza kutuletea balaa zaidi Taifa letu ikiwa Lissu atafanya mbinu za kukutana na Biden kwa kupitia washauri wake wa karibu kama: makamu wa Biden Bi Kamala Harris, rafiki wa karibu wa Familia ya Biden Mr. Obama na Mkewe - sasa angalia kitu kingine, ni hivi: Rais Biden, Bi Kamala Harris, Barak Obama, Michille Obama hao wote walio tajwa hapo juu pamoja na Tundu Lissu ni wanasheria by Profession - wakale walisema birds of a feather flocks together hawatupani hata siku moja, kitu kingine ukichunguza utabaini list yote including seneta wa California wana asili ya Africa save Rais Joe Biden - sasa hii inaleta picha gani - ni wazi kwamba Lissu aki-pursue suala lake aggressively Taifa letu linaweza kuwa slapped with punitive sanction kama za Iran na Venezuela - USA akiwashawishi marafiki zake tunaweza kukosa pa kupumulia nawambieni.

Sasa nini maoni yangu - Viongozi wetu wajitahidi kumushauri Lissu kwamba malalamiko yake hasiya yapeleke mbali, arudi tu nyumbani atahakikishiwa usalama wake ili wakae meza moja ya maridhiano na Dk.Magufuli na washauri wake - ili wayamalize kiutu uzima, basi. Tukumbuke kwamba odds za Taifa letu kuwekewa kibano cha uchumi ni mkubwa sana therefore ni bora ku-nip in the bud suala la Lissu the soonest kuliko kuendeleza Political rhetoric na mipasho ya taarabu - unafiki wa kujipendekeza hauwezi kutufikisha popote kama Taifa. My opinion.
Ona hili nalo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom