Acha uzushi wa kishamba shamba wewe picha ipi hapo wala hakuna kitu kama hicho huko usizani chuki zako binafsi zinapenya huko, hao wapo kazini ulitaka waache kazi waanze kujichekea tu? Ebu jaribu kuficha chuki zako kidogo usiwe kama Joseph yona na cyprian Musiba wenye chuki za kulipwa na CCMAnaimarisha vipi check huyo Mzungu kamchunia na kamwekea kibao kabisa kuwa wewe don't step in here.Au hicho kibao hukioni mzungu kukufukuza hakwambii toka anakuwekea kibao tu.Hapo Tundu kagwaya na kingereza chake aibu imembana na kikofia chake
Acha kiherehere maliza shule kwanza!😅😅😅na anavyopenda sasa mademu ova anawezea mambo😅😅!
Ukitoka kuvuta Bangi ghetto kwa cyprian Musiba huwa unalazimisha hata visivyokuwepo wala kuwezekana acheni kuvuta Bangi ndipo mnaingia huku na chuki binafsi kusumbua watuViva wapi mzungu mwanaume mwenye ofisi kamshit Tundu lisu anaongea na mzungu mwenzie mwanamke haongei na mswahili Tundu lisu
Utaozea hapo kibaigwaWewe watu tumesafiri hata hotel za kawaida Kama hutaki mtu aingie chumbani kwako unamuwekea kibao Cha don't disturb.Tundu Lisu keshawrkewa hicho Cha don't step in here Happ ukimtazama anasubiri huyo.mwanamke anayeongea na mzumgu aondoke ili yeye atoke mbio kwani mlango wa kuingilia upo hapo aliposimama huyo mwanamke.kadhalilika barabara.
Mbuzi jike bila beberu atazaa vipiHao mnao waita mabeberu ndiyo mnawapigia magoti kuomba misaada
Kibamia siri zake muulizeni Mange kimambi ndiye anamjua vizuri😅😅😅na anavyopenda sasa mademu ova anawezea mambo😅😅!
Kumbe kupiga picha akiwa yuko kwenye foleni ya kuhudumiwa na mabeberu ni kukiimarisha saccos ya Chadema!!??Mh Lissu ameendelea kufanya juhudi za kukiimarisha chama cha CHADEMA huko ulaya.
Hongera sana mkombozi wa wanyonge wa TanzaniaView attachment 1242785
Walikataa kumuhudumia ili afe wanateseka yuko hai.Anajilipia maana uwezo wa kujihudumia anao,
Vinginevyo mlivyo kataa kumuhudumia angesha kufa
Vipi umerudi JF baada ya kunyooshwa inayofuata itakuwa kubwa zaidi.Viva chadema
Kunyooshwaje..hebu fanya yako..unaweza dhani jirani halali usingiz ukihis unamrusha kumbe mwenzako anakoroma balaa...Vipi umerudi JF baada ya kunyooshwa inayofuata itakuwa kubwa zaidi.
Nyanoko!Kunyooshwaje..hebu fanya yako..unaweza dhani jirani halali usingiz ukihis unamrusha kumbe mwenzako anakoroma balaa...
OfakileNyanoko!
Kibamia siri zake muulizeni Mange kimambi ndiye anamjua vizuri