Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Kama kuna mtu anajua chanzo cha kuto_ omba kibali mapema atuambie. Haka kajamaa ni kaongo kaongo sana kanatafta kuonewa huruma.


Mitano tena hatuuzi nchi
 
Chadema acheni kupoteza mda. Kama mmenyimwa kibali cha kuruka andaeni big screen uko Kawe hili Lisu afanye mkutano kwa kutumia video call, zoom, skype njia yoyote hile ambayo wanachama watamuona.

Huo ndio upapambanaji sio kulalamika na kutaka kuvunja sheria hili kuwapa sababu ya kuwakamata.

Tumieni njia mbadala ya kuwafikia wananchi.
 
Mnaomba kibali kama vile ni nyie tu ndio mulikuwa waombaji.. musubiri muda wenu. Mtapewa tu..

Kesho 💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
WanaChadema na ACTwazalendo walioko Bomang'ombe na KIA waelekee huko Uwanja wa Ndege ikibidi hao maafisa wale Kibano

Nenda wewe na wote ndani kwako.. acgeni uchochezi huku mumekaa makwenu..

💚💛💚💛💚
 
Kuna taarifa kuwa baada ya kucheleweshewa kibali cha anga akiwa Kilimanjaro Tundu Lisu ameamua kurusha choppa bila kibali kuwahi mikutano yake ya kufunga kampeni Dsm.

Ngoja tuone mamlaka husika ikiwemo NEC zitachukua hatua gani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom