Lisemwalo lipo

Mkurugenzi mstaafu wa Tume HURU ya uchaguzi ya Tanzania , Kailima
Nilijiuliza kwanini kuna watu wanatamani mitandao ya kijamii ifungwe sikupata jibu sasa taratiiiiibu naanza kupata majawabu. Asante teknolojia
 
Hivi emekula shavu gani kwasasa?
Daahh nikikumbuka uchaguzi wa Kinondoni namkumbuka bint Aqwilina.
 
Hivi emekula shavu gani kwasasa?
Daahh nikikumbuka uchaguzi wa Kinondoni namkumbuka bint Aqwilina.
Sasa hivi ni katibu mkuu sijui wizara ya mambo ya nje kama sijakosea ila sina uhakika sana wacha waje wajuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…