Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,308
- 289,275
Huyu ni Mwigulu na nan?
Mkuu ni nani huyo mwingine?Mungu hamfichi mnafiki .
Nimeuliza namie sijapata jibu aseeMkuu ni nani huyo mwingine?
Hebu Erythrocyte ukuje haraka na ufafanuzi kwani akili yangu imeanza kusoma maluelueMungu hamfichi mnafiki .
Ni Mangula kweli huyu?Naona ni Mangula na Madelu
Ramadhani KailimaMkuu ni nani huyo mwingine?
KailimaHebu Erythrocyte ukuje haraka na ufafanuzi kwani akili yangu imeanza kusoma maluelue
Hujakosea hata chembe , huyu ndio mlitegemea atende haki kwenye uchaguzi ?
Nimejaribu sijui kama ni kweli
Mkurugenzi mstaafu wa Tume HURU ya uchaguzi ya Tanzania , KailimaNi Mangula kweli huyu?
Hapo sawa kbsaaaa sibishi wala siulizi tena swali.Ramadhani Kailima