Lipwa kwa kujaza survey (paid survey)

fursa nyingine hii hapa, hawa hawana longo longo wanakulipa ndani ya masaa72, ata kama umeingiza $1. na pesa yao ni rahisi sana kuipata tofauti na wengine, pia ni free, jiunge sasa ujiingizie kipato, kumbuka mtembea bure si sawa na mkaa bure Get Paid For Your Opinion
 
Kalagha bhaoo
ndugu hujalazimishwa kucomment, waache wenye dhiki na shida wenzangu wajaribu bahati yao. cha ajabu watu mnakimbilia kuccoment na kukejeli bila kufanya uchunguzi, wewe jaribu kujiunga kwanza ndio uje kuccoment kama ni uongo au nini.
 
hii michezo ya kitoto tulifanyaga tukiwa chuo mwaka wa pili ni utaplei mkuu achana nao.
kweli ndugu, wengi matapeli, sio eti matapeli wanakuibia, hapana, hawakulipi, na wanakuwa na vizuizi vingi kwa waafrika maana wengi wao ni wazungu ambao ni mahost wa hizi program. ila watu hawa nawaamini sana, they are very fair kweli, japo kazi hii yataka moyo, maana inabidi ikuchukue wiki kama mbili hadi tatu kufilia $15, kwa yeyote ambaye yuko passionate anaweza kujaribu, ata wewe ndugu jaribu then uje utoe ushuhuda Get Paid For Your Opinion
 
hii michezo ya kitoto tulifanyaga tukiwa chuo mwaka wa pili ni utaplei mkuu achana nao.
kitu kingine, matapeli ni ambao wanakwambia ulipie ili kujiunga, nashauri mtu yeyote hasikubali kulipia freelancer au affiliate yoyote ile, unapolipia ndio inakula kwako, opportunity nyingi unakuta ziko limited kwa UK, USA na CANADA, kama kuna watu wameshajaribu wanaweza kuthibitisha hili. Alafu kitu kingine kinachotuponza wabongo ni kuwahi kukata tamaa mapema, unakuta registration process ndefu mtu anaamua kuacha!, tusiache ndugu zangu. alafu kitu kingine, zip code au postal code ni optional, siyo lazima kujaza maana hata wao wanajua kwa nchi kama Tanzania Zip code ni shida, ndomaana ukishajaza tu country kuwa Tanzania, zip code inakuwa si mandatory tena. Narudia tena, kama kuna mtu anataka kujaribu bahati yake aanze sasa atumie link hii: Get Paid For Your Opinion
 
Back
Top Bottom