Lipumba Vs Mbowe

PROF LIPUMBA VS DISCO JOKER? kweli nyie watu mna akili kweli? mnalinganisha LIPUMBA na DJ? mtu anajitangaza kwa sifa zake, MBOWE ni sawa mavi kupamba maua! hayatapendeza yataendelea kunuka tu.
mkuu education should help the society otherwise unfunction. Lipumba amezidiwa na dj kwa kuendeleza ubaguzi wa kidini badala ya kuwaunganisha watanzania! Elimu haijaisaidia sana jamii at large!
 
dj ndo nani

1259189230_dj-spinna-vs-jj1one-33.jpg
 
huwezi kufananisha korando na v8. Mbowe sawa na v8 huyo aliebaki ni korando
 
Nadhani maajabu yanaweza tokea dj akaunganisha watanzania kuelekea mabadiliko ya kweli. Kuliko huyu prof. Ambaye yupo ndani ya chupa!
 
ETI MBOWE NAE ATAMBE??ATAMBIE KITU GAN??
PRO-CHADEMA ILLUSIONS ZITAWAUA
YAN MNAJARIBU KUMFANANISHA DJ NA PROFFESSOR??
MWENYE SHULE ANA SHULE TUH..
ACHENI KUKAA KWENYE VIKUNDI KUDANGANYA IGHU"AAAN,,
DOLA CHADEMA AWAPE NAN??
MNAJIGAMBA NA KIPI??HAHAHAHAHA:eyebrows::rant::spy::lol::smash:
 
Lipumba ana rekodi ya pekee kwani ndiye Kiongozi peke yake wa chama kikubwa cha upinzani ambaye hachaguliki kwa cheo chochote kuanzia ujumbe wa nyumba 10,10; udiwani; ubunge na hata Urais......nashangaa wanaomsikiliza huyu profesa!
 
huwezi mfananisha Mbowe na Lipumba jina lake tu linadhihirisha upumba wake
 
Mimi Lipumba nilianza kuingiwa na wasiwasi na uprofesa wake pale anapokuwa na poor analysis kwenye issues. Aliwahi kuulizwa kama alikuwa mshauri wa rais Ali itu hassan Mwinyi na je alimshauri nini. Nilitegemea alimshauri kuanzisha labda basic industries au agro processing industries. Lakini yeye huku akiwa emotions akasema ushauri wangu ulikuwa mzuri maana nchi ilikuwa haina rexona lakini tukaanza kuona vitu madukani. Hivi kweli na hilo linahitaji PHD au cheo cha professa kumwambia mtu kwamba fungulia pandora box? You don't need to be a scholar of highest degree maana hata Idd Amini naye aliwahi kufanya hivyo na akawa anaprint hela kwa jinsi akili yake ilivyomtuma. Kwa hiyo kwa kifupi Lipumba kama mshauri hakuwahi kumwambia ruksa walau aendeleze walau viwanda vidogovidogo, alinde vichache vilivyokuwa vinazalisha, afufue vilivyokuwa vimelemewa, nk. Kwake ilikuwa fungua milango, uza kilichopo kinachozalisha mpaka tausi wa ikulu. Nina wasiwasi huenda hata import duty alishauriwa na kina Lipumba isikusanywe. Kina Deodatus Balile wanasema watu wanamlaumu Mwinyi kutokusanya kodi wakati viwanda vilikuwa vimekufa. Sijui hiyo conclusion ilikuwa based on what source. Import revenue na kufa kwa viwanda ni mbali kama mbingu na nchi

Sasa afadhali Kamanda Mbowe ameonyesha kuwa mjasirimali na amesiamamia projects that are viable

Hilo swali aliulizwa lini, wapi na nani alimuuliza? Isije kuwa ulikuwa ushapiga ulanzi baada ya kuvimbiwa magimbi halafu ukawa wewe pekee yako unaiona hiyo interview.

Kweli magwanda mmefilisika. Yaani yule DJ aliyetolewa show na Hamad Rashid kwenye mdahalo ndiyo ukamfananishe na Prof. Lipumba? Sasa huo kama siyo uwendawazimu basi ni uhayawani tena!
 
Lipumba ana rekodi ya pekee kwani ndiye Kiongozi peke yake wa chama kikubwa cha upinzani ambaye hachaguliki kwa cheo chochote kuanzia ujumbe wa nyumba 10,10; udiwani; ubunge na hata Urais......nashangaa wanaomsikiliza huyu profesa!

Na lini aligombea cheo cha ujumbe wa nyumba 10/10, udiwani na ubunge? Hizi akili za kilevi bwana, zina taabu kweli kweli.
 
Na lini aligombea cheo cha ujumbe wa nyumba 10/10, udiwani na ubunge? Hizi akili za kilevi bwana, zina taabu kweli kweli.

Huyu mtu hajawahi kupata nafasi yoyote ya uongozi kwa kuchaguliwa. Inakuwaje Cuf wamfanye ndie awe mgombea wao? Mtu ambaye hata pale kwake Ilolangulu kwenye umasikini uliotopea hawamuungi mkono atachaguliwaje na wadanganyika?
 
Acheni kujidhalilisha nyie,yaani mnamlinganisha dj na prof? Bora kidogo mngemlinganisha na padre slaa..
 
Maendeleo ukisubiri uletewe utaona dunia chungu mkuu ngoja nikuletee cv ya huyu jamaa ndo uone alivyokaa vizuri kichwani.

CV ya nini?? CV kwangu ni uwezo wa kuleta mabadiliko!! Hatuhitaji makaratasi yasiyo na tija!! mere nonsense!!
 
DJ vs Prof.:A S 41:

That's when one fails to distinguish you and those who have not seen inside the classroom. The latter are tolerated because they not in that strata because they chose that route but because they were convinced to forgo education for religious preachings. Lipumba and Mbowe are two characters diametrically opposed. Mblesowe the man who leads the masses in diversity-those restricted in rural circles and those in urban or metropolitan areas. He has won the masses as he speaks their language. Lipumba the academician but who has failed to transalte his knowledge on practical footing. he speaks the language that leads to obfuscation
 
DJ vs Prof.:A S 41:



That's when someone fails to distinguish you and those who have not seen inside the classroom. The latter are tolerated because they not in that strata because they chose that route but because they were convinced to forgo education for religious preachings. Lipumba and Mbowe are two characters diametrically opposed. Mblesowe the man who leads the masses in diversity-those restricted in rural circles and those in urban or metropolitan areas. He has won the masses as he speaks their language. Lipumba the academician but who has failed to transalte his knowledge on practical footing. he speaks the language that leads to obfuscation
 
Back
Top Bottom