Elections 2010 Lipumba to be President...who is first Lady?

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,033
Wakuu naomba yeyote anayemfahamu first lady wetu ikiwa Lipumba anakuwa president wetu baada ya oct 31.
 
First Lady wa Ghaddafi nani? Mbona nchi inakwenda? Haya mambo ya 'First Lady' ni kuongeza gharama zisizokuwa na msingi.
 
thanks, but assume kwa bahati mbaya he becomes a president....nani is his 1lady?

Not this time.....tumekuwa na bahati mbaya nyingi sana....imagine tunaelekea kusheherekea uhuru wetu 2011 tukifikisha miaka 50...hatutaki hizi bahati mbaya tena..
 
Not this time.....tumekuwa na bahati mbaya nyingi sana....imagine tunaelekea kusheherekea uhuru wetu 2011 tukifikisha miaka 50...hatutaki hizi bahati mbaya tena..

imagine kusherehekea miaka 50 ya uhuru na watawala hawa hawa vipofu? huoni hiyo ni bahati mbaya sana bora hata bahati mbaya ya Lipumba kuwa president hata kwa term moja?
 

Wewe king of kings unaua wewe,

Hiyo picha ya Lipumba na Kikwete imenichekesha sana. Ngoja nijaribu kuiwekea maneno.

Kikwete: Wee Lipumba nawe bana unauzi wewe
Seif: teh teh teh teh
Lipumba: hii hiii hii ninauzi nini bwana mdogo
Kikwete: yaani unauzi kweli
Lipumba: (huku akicheka zaidi) .. ninauzi nini?
Seif: teh teh teh .... you see, mi nilimwambia hamsikii
Kikwete: ha ha ha ha
Kikwete: Wee Seif tugawane basi
Lipumba anaingilia kati: Ninauzi nini na mgawane nini?
Seif: teh teh teh

itaendelea
 
Whatever the case this professor will never be our president...four tries????...kwani ni yeye tuuuuuuuu
 
Suala la first lady kwanza, haliko kwenye katiba pili, litasaidia kupunguza gharama na foleni zisizo na lazima. Tujitahidi kuheshimu katiba hata kama ina upupu ndani yake mpaka tutakapoirekebisha
 
Wakuu naomba yeyote anayemfahamu first lady wetu ikiwa Lipumba anakuwa president wetu baada ya oct 31.

Mkuu umenifurahisha!! Atatafuta wa chapu chapu kama mwaka 1995? Hivi walishaachana au walioana kwa mkataba fulani after uchaguzi kila mtu hamsini zake? Masuala la contractual marriages ni hatari sana.

Bottom line kwa African culture inapendeza ukiwa na mwenzi, ni heshima hiyo. Uongozi mwema na busara huanzia katika familia, kwa nchi za wenzetu uongozi wako unaanzia kwa familia yako? Huku kwetu watathubutu wakati viongozi wenyewe cuncubines ni kibao? Hakuna atakayepona!!! na kuukwaa urais TZ na sehemu kubwa ya African countries maana infidelity ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom