Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,609
- 1,739
Naona ipo haja ya kumpigia Debe Mtanzania Lipumba , nionavyo kama kuna mtu ambae anafaa kuwa Raisi wa Tanzania basi hakuna kama Lipumba ,ikiwa tunalohitajia ni kiongozi msomi basi Mnyamwezi Lipumba ndie anaefaa kubebeshwa mzigo mzito.
Tiweke tofauti za kichama tuamue kujikwamua kutoka hapa tulipo ambapo tumekwama kwenye matope ya CCM,tuelekeze nguvu zetu zote kwa mtu mmoja tu kampeni ziwepo za ndani za chini kwa chini za uwazi kumtangaza Lipumba,nimejaribu kufuatilia hotuba zake zote kwa kweli inaonekana wazi ni mtu anaeumwa sana na hali ya WaTanzania ,ni mtu mwenye upeo na muono na ambae hana sababu ya kumfanya Mtanzania abakie omba omba na nchi yake iwe tegemezi.Lipumba karibu hotuba zake zote zilichoma juu ya hali ya MTanzania na zilifanana kwani hakubabaika katika kubadilisha mazingatio ya hotuba yake na alikuwa hapaki rangi hotuba zake kwa kubadilisha badilisha maneno na kiini cha matatizo ,naweza kusema niliweza kujua atachokisema neno kwa neno kutokana na kusikiliza hotuba yake iliyopita,hakuwa mbabaishaji haya ya ufisadi akiyasema kwa kina kuwa Watanzania watabakishiwa mashimo matupu.
Inaaminiwa kabisa kama mtu huyu angeshinda au alishinda kwenye uchaguzi uliopita kilichofanyika ni mazingaombwe ya CCM ambayo yalimpiga na chini.
Inafaa kabisa Watanzania kwa kauli moja wamfanyie kampeni Lipumba kwenye kila kona kuanzia kwenye vyombo vya usalama wa Taifa Polisi Jeshi na uraiani ili hila za mafisadi zisiweze kutumika na zikitumika zigonge ukuta.
Sina historia ya Lipumba juu ya kuhusika na mambo ambayo yangemtia ila kuwa kiongozi bora ukilinganisha na viongozi wa vyama vingine.
Labda kama nikimalizia ikiwa huyu hatokubalika basi anaefaa kushika usukani wa Tanzania ni Salim Ahamed Salimu ambae naamini kabisa ilikuwa ni roho na tamaa ya Watanzania wengi kwa muheshimiwa huyu kushika usukani ,hila na njama ndizo zilizomfanya apigwe na chini kwa mambo ambayo wajuzi wa historia yake wanasema hakuwa nazo,na kama Jeshi likiamua kufanya kweli kutokana na kuchoshwa na ukiritimba wa mafisadi wa CCM basi ni rahisi kumuweka Salumu kuwa Raisi wa Tanzania naamini(na sidhani kama anahusika na kashfa zilizoigubika TZ) kabisa wajeshi wana imani na mtu huyu na bila ya shaka wanazo kumbukumbu zake alipokuwa Waziri wa Ulinzi kwani Jeshi lilikuwa limestawi na lenye afya.
Ni lazima Watanzania waamue ni nani wanamtaka awe Raisi wao kabla ya kampeni na upigwaji kura.
Naomba kuwasilisha hoja kwa WaTanzania popote walipo.