Lipumba: Mihemko ya Tundu Lissu itaiharibia CHADEMA

Hivi kuna mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza Lipumba ?
Kubalini kupokea ushauri,saccos yetu itakufa,nimemuelewa vizuri Prof.Lipumba ,kumbe chadema Haina wanachama Bali inawashabiki tu,Ila kakosea aliposema chadema itapoteza mashabiki,ilibidi aseme kuwa chadema itazidi kupoteza mashabiki,

By the way mkiendelea kufuata ushauri wa Mrs Robert Amsterdam hakika mtajuta,lipumba amewashauri vizuri,achanane na huyo Mrs.
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Haruna....hilo jina usije kumpa mwanao....wengi wachawi...matapeli....vigeugeu...usaliti...ni watu wa kunyumba yumba
 
Lissu anapigania legitimacy ya kubaki Ubelgiji akihudumiwa kama mkimbizi.

Hali yoyote ile itakayoonyesha utengamano wa kisiasa nchini itakuwa inamuondolea hadhi ya ukimbizi wa kisiasa.

Ndio maana muda wote anakuwa na lugha chokozi ili kuwakasirisha watawala.

Lakini serikali inampotezea na hakuna anayejibishana nae.hivyo amebaki kubwabwaja na kina Maria Sarungi huko the Space.

Ananufaika na kuzuiliwa kwa Mbowe na ndio maana hataki muafaka au suluhu ipatikane.

Same thing as Godbless Lema.

Shame on all of them.
 
Lissu anapigania legitimacy ya kubaki Ubelgiji akihudumiwa kama mkimbizi.

Hali yoyote ile itakayoonyesha utengamano wa kisiasa nchini itakuwa inamuondolea hadhi ya ukimbizi wa kisiasa...
Ni wapuuzi sana hao watu
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lissu ikaiharibia CHADEMA na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.

Prof Lipumba amesema Tundu Lissu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Kwani huyu si ndiyo kawaharibia CUF?

Hivi hadi sasa bado ana wafuasi wangapi?

Hiiiiii bagosha!
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lissu ikaiharibia CHADEMA na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.

Prof Lipumba amesema Tundu Lissu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Haaaa hii ndo raha ya kuwa hadema

Haaaa naonaa nguvu imeongezwa.. cut na act wafurahi cdm ikifa mbona wako disparate
 
Back
Top Bottom