Lipumba: Mihemko ya Tundu Lissu itaiharibia CHADEMA

Lipumba: Mihemko ya Tundu Lissu itaiharibia CHADEMA

Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Atawapoteza wengine lakini siyo mimi
 
Profesa wa hovyo kabisa kupata kutokea Tanzania.
 
Prof. Lipumba ambaye amesomeshwa enzi zao bure,
na sisi kizazi kipya mpaka leo tunamlipia deni kwa kusomeshwa bure kupitia kodi zetu kama malipo ya hili deni lisilohimilika la taifa, halafu haya ndiyo Profesa aliyojifunza na kuyafahamu kwa miongo kadhaa ya uzoefu wa kula chumvi nyingi !

MwanaCCM-asilia mmoja Mzee brigedia jenerali mstaafu aliyepata kuhudumu kama balozi , aliwahi kusema wasomi wa aina hii ya Profesa ni sawa na wahujumu uchumi.

Kweli sasa nimeamini maneno ya yule Mzee balozi brigedia jenerali (mstaafu) kuwa kama kuna uwezekano aina hii ya wasomi warudishwe wakasomeshwe tena maana elimu hii kubwa aliyonayo Profesa haimsaidii kupambanua mambo au kushiriki ktk kuchochea mabadiliko chanya ktk jamii pana ya KiTanzania.
 
Kama Chadema itapoteza mashabiki si ndio vizuri yeye atumie hiyo nafasi kuikuza CUF ili kuchukua nafasi ya Chadema.
Nafasi ipi tena kaka,? Chadema ilishinda kiti kimoja tu bungeni.
 
Huyu kaona zitto anafaidi nae kaamua aingie mchezoni..

Kasahau Mihemko Yake ndo Iliyoiua CUF Bara, msaliti mkubwa huyu
 
Toka Maktaba
24 September 2020

Nabii Mwingira Asema Lissu Ni Miujiza Ya Mungu, Asema Hakuna Mtu Aliyepigwa Risasi Nyingi Kama Lissu

Hotuba hii ya Nabii Mwingira sio tu inaibua tafakuri kuhusu Lissu alivyosalimika katika jaribio kubwa kabisa dhidi ya uhai wake, lakini sasa sio tu ni mzima bali pia anawania urais, bali pia inawezekana kuwa ishara ya awali ya viongozi wa dini waliokuwa karibu na Magufuli "kumkimbia."
 
Utakuwa punguani kumsikiza huyu mzee mchomoa betri...

Jamaa alichowafanya wenzake ile 2015 hahahah....dah!
 
Tundu lisu huwa ni baba haambiliki ana too much arrogance behavior, sikuona haja ya kususia ule mkutano na kumshambulia zito, maana wangehudhiria ule mkutano mbowe angekuwa out now kuendeleza mapambano

..tatizo wanaokabiliana na Lissu huwa hawajiandai kwa kujisomea na kutafiti matokeo yake wanaishia kuburuzwa kwa hoja.

..hali hiyo husababisha malalamiko kwamba Lissu anajifanya mjuaji sana, ana kiburi, au anatukana mamlaka.
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

hivi kuna wanaomwelewaga lipumba kweli?
 
Tundu lisu huwa ni baba haambiliki ana too much arrogance behavior, sikuona haja ya kususia ule mkutano na kumshambulia zito, maana wangehudhiria ule mkutano mbowe angekuwa out now kuendeleza mapambano
Hafai kabisa huyo dikteta wa chadema
 
..tatizo wanaokabiliana na Lissu huwa hawajiandai kwa kujisomea na kutafiti matokeo yake wanaishia kuburuzwa kwa hoja.

..hali hiyo husababisha malalamiko kwamba Lissu anajifanya mjuaji sana, ana kiburi, au anatukana mamlaka.
Bila unafiki lisu ana hulka za kimagufuli gufuli flani ambazo hazisaidii sana zaidi ya kuharibu
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Katika wapumbavu waliowadhalilisha maprofesa hapa nchini namba 1 ni huyu Prof. Lipumbafu!
 
Alafu baadaye akatumika kuua kafu na kumkimbiza maalimu kafu
Kafu imeuliwa na yule alieshirikiana na wale walimpigia deki barabara mgombea B wa CCM (mh Lowasa) alietumwa kuja kusambaratisha vyama vikuu viwili ambavyo vilikuwa tishio kwa chama tawala Zanzibar na Bara. Vyama hivyo ni Chadema na CUF. Lipumba yey kaangushiwa jumba bovu kwa sababu ya kukataa kuhongwa ili amsafishe na kumpigia deki mgombea B wa CCM mh Lowasa. Ni viongozi wa Chadema pekee na hayati maalim Sefu ndio waliokubali kuuza utu wao, kupoteza heshima zao na kumeza matapishi yao kwa sababu ya njaa zao.

images (7).jpeg
 
Bila unafiki lisu ana hulka za kimagufuli gufuli flani ambazo hazisaidii sana zaidi ya kuharibu

..katiba yetu ni mbaya.

..na bunge letu halikuwa na wapinzani wa kutosha wa kuisimamia na kuidhibiti serikali.

..matokeo yake Magufuli akawa anafanya anavyojisikia.
 
Huyu mzee lipumba zinatoka na kurudi
Aliwatahadharisha kuhusu Lowassa mkamtukana sana

Anawatahadharisha sana kuhusu uanaharakati wa Lissu

Huyu Lissu kwa mliosahau alimshambulia sana Hayati Prof Mwesiga Baregu kwa kukubali uteuzi wa Rais Kikwete kuwa Mjumbe wa Tume ya Warioba lakin baada ya kazi nzuri ya Tume hiyo akajisahaulisha na kugeuka Dalali wa kazi ya Tume hiyo kuliko wajumbe wenyewe
 
Bila unafiki lisu ana hulka za kimagufuli gufuli flani ambazo hazisaidii sana zaidi ya kuharibu

..Lissu hushinda kwa hoja.

..Magufuli alikuwa akishinda kwa hila,unyama,na ukatili.
 
Mihemko ya kuwaambia mmeingia Mkenge kumteua Lowassa kuwa Mgombea?, bado mna ujasiri wa kusema mlikuwa sahihi kwny mgombea Urais 2015?
Huyu kaona zitto anafaidi nae kaamua aingie mchezoni..

Kasahau Mihemko Yake ndo Iliyoiua CUF Bara, msaliti mkubwa huyu
 
Back
Top Bottom