Lipumba: Mihemko ya Tundu Lissu itaiharibia CHADEMA

Kwa hiyo Lipumba leo hii ana huruma na CHADEMA? Mungu awaepushe wakweli, wapenda maendeleo na haki wasizeeke kama mzee wa Lolangulu hadi Mabama.
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Huyu propesa wa hovyo ajifunze kufunga bakuri lake.
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Uko kwenye siasa miaka yote lakini huna mashiko yenye kwenda mbele ni kununuliwa tu kumebakia.
Pumzika na usiwatoe watu kwenye Katiba. Tunahitaji katiba Pumba.
 
Ndie alikuwa mpinzani wa kwanza kushtukia mipango ya CCM kusimamisha wagombea wawili katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, baada ya Kikwete kuambiwa kuwa chama kitamfia mikononi, na lisemwalo likielekea kutimia ndo akaja na mpango madhubuti ambao ulizaa matunda tulioyaona mwaka ule. So jamaa ana maono sana maana aliyosema yalitimia na baada ya kazi kukamilika alietumwa (Lowasa) alirudi alipotoka.
Moja kati ya sababu iliyomuondoa Israel mwenye asili ya Burundi nchini Tanzania ni ule uchaguzi wa 2015 baada ya pale hakuwahi kulala kwa amani mpaka anahama makao.
 
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.
Tatizo ni kuwa chadema hawajajua kuwa huyo jamaa #dishlimetilt; mpaka watakapotoka usingizini na kulijua hilo itakuwa too late.
 
..hawa watu hawana confidence na maamuzi yao.

..hawawezi kutenda bila kusikilizia Tundu Lissu anasema nini.

..wanaolilia katiba mpya na tume huru wanamuelewa, na kumuamini Tundu Lissu, kuliko Msajili wa vyama na vibaraka wake.
 
Tundu Lisu huwa ni baba haambiliki ana too much arrogance behavior, sikuona haja ya kususia ule mkutano na kumshambulia Zito, maana wangehudhiria ule mkutano Mbowe angekuwa out now kuendeleza mapambano
 
Ahahahaaaa eti Lipumba nae anatoa ushauri kwa CDM, what a joke?
 
Tundu lisu huwa ni baba haambiliki ana too much arrogance behavior, sikuona haja ya kususia ule mkutano na kumshambulia zito, maana wangehudhiria ule mkutano mbowe angekuwa out now kuendeleza mapambano
Sema siku ya kupiga picha na si mkutano
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Mtu anayemquote Lipumba na kumpa uzito ana akili za kuku,anawaza kuchimba wadudu na kudonoa.
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Mjamaa upumbavu bado haujamwisha tu, lilitumika na ccm kuimaliza CUF na sasa bado linatumika kuudhohofisha upinzani
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Kwani kuna shida gani chadema kuharibikiwa ikiwa ccm na vibaraka wao wangependa iwe hivyo

Kitendo cha chadema kususia ule uhuni na ujinga wa msajiri kimewaumiza Sana ccm
 
Ndie alikuwa mpinzani wa kwanza kushtukia mipango ya CCM kusimamisha wagombea wawili katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, baada ya Kikwete kuambiwa kuwa chama kitamfia mikononi, na lisemwalo likielekea kutimia ndo akaja na mpango madhubuti ambao ulizaa matunda tulioyaona mwaka ule. So jamaa ana maono sana maana aliyosema yalitimia na baada ya kazi kukamilika alietumwa (Lowasa) alirudi alipotoka.
Alafu baadaye akatumika kuua kafu na kumkimbiza maalimu kafu
 
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Yeye utulivu wake wamesaidia nini cuf ?!
Prof kilaza
 
Back
Top Bottom