Lipumba: Mihemko ya Tundu Lissu itaiharibia CHADEMA

Mihemko ya kuwaambia mmeingia Mkenge kumteua Lowassa kuwa Mgombea?, bado mna ujasiri wa kusema mlikuwa sahihi kwny mgombea Urais 2015?
Sijui unaongea nini we kilaza? unashindwa kutofautisha wakati uliopita na uliopo?
 
Fuatilia vzr speach ya tundu lissu na Prof.Lipumba wakieleza nini kilikwamisha mchakato wa katiba mpya.

Unadhani ninkwanini kwamara ya kwanza mswada wa kikwete wa katiba mpya 2011 ulipo pelekwa Zanzibar ulichanwachanwa na shekh farid wa uamsho?
Je hiyo tume ya kikwete ipo? Katiba mpya IPO?
 
mamluiki huyu
 

Awe na maono kwenye jambo lisilomuhusu, kisha asiwe na maono kwa CUF kumfia? Lowassa alirudi CCM kwa kuhofia kuuwawa na kufilisiwa. Mwingira leo kaweka ukweli nini kilikuwa kinaendelea huko nyuma.
 
Bila unafiki lisu ana hulka za kimagufuli gufuli flani ambazo hazisaidii sana zaidi ya kuharibu
Kwa nini sasa mataga wanamchukia yeye kuliko kiongozi yeyote wa Chadema?
 
Namkumbuka mzee alikula hela za jiwe halafu akakimbilia rwanda Kula bata kipindi kile cha uchaguzi
 
Lipumba ana wafuasi wengi kuliko Lisu ndiyo maana hajakimbilia kwenda kulishwa bure Ubelgiji
Mlelewa Ubelgiji na amsterdam na umarufu gani

Unawaambia wenzako wajikite kwenye hoja, mbona wewe mwenyewe "mtoa hoja" unatoka nje ya "hoja yako" mwenyewe...?

Ungemsaidia nduguyo Prof. Lipumba kufafanua kwa hoja ni kwa namna gani Tundu Lissu anaweza kusaidia CHADEMA kupoteza hao waitwao "mashabiki" ingekuwa busara sana kwako kuilko haya unayoandika kihusu TL kwa sbb hayana maana na wala hayakusaidii lolote wewe zaidi yanakufanya uonekane purely kuwa wewe ni "mjinga" tu...!
 
Kama Chadema itapoteza mashabiki si ndio vizuri yeye atumie hiyo nafasi kuikuza CUF ili kuchukua nafasi ya Chadema.
Leprofesorer ameshasahau ule mkesha was buguruni usiku nachana huku akiwa na mbeleko ya wanakijani, kama aliona Chadema was nafaa kiingoa kwwnye mtingi amevigo, kwani twajua no ccmcche.
 
Hana namna ambayo anaweza kufanya, uwezo wake upstair ndio unaomwongoza kufanya anachokifanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…