Elections 2010 Lipumba live on ITV

Lipumba asema yeye ni Mlima Kilimanjaro na Dk. Slaa ni Kichuguu, haya Lipumba naona yeye anapambana na Dr. Slaa ha ha ha
 
Katika mahojiano ya ana kwa ana ITV yanayoendelea, Prof. Lipumba amesema anamkubali sana Dr. Slaa. Prof. Lipumba alikua akijibu swali lililohusu upinzani upo kati ya JK na Slaa na yeye kuwa kama mwamuzi wa nani atamuunga mkono kati ya hao wawili
 
Wajameni kama Tz ishawahi kupata magenious basi Lipumba tutamhesabu. Leo kasema anamuunga mkono dr.SLAA.

Kaongeza kusema kuwa ila dr slaa ni kchuguu, yeye ni mlima. Kwa maneno hayo basi, usipompa Lipumba basi ongeza kura kwa Slaa ili ashinde kwa kishindo.

Ombi maalum: Dr.SLAA ukimwacha prof.Lipumba ktk muundo wa serikali yako mwaka 2015 sikupi kura mara ya pili.

TANZANIA BILA MAJUHA INAWEZEKANA.
 
akiwa live ITV na kuulizwa kuwa kwa vile yeye ndiye kama ana ufunguo wa nani kuwa mshindi kati Dr. slaa na JK akajibu kuwa ikiwa hawatampigia kura basi wampigie slaa kura kwa kuwaunganisha watanzania na kwa mabadiliko ya kweli

Mungu ibariki Tanzania
 
Wajameni kama Tz ishawahi kupata magenious basi Lipumba tutamhesabu. Leo kasema anamuunga mkono dr.SLAA. Kaongeza kusema kuwa ila dr slaa ni kchuguu,yeye ni mlima. Kwa maneno ayo basi,usipompa lipumba basi ongeza kura kwa Slaa ili ashinde kwa kishindo. Ombi maalum: Dr.SLAA ukimwacha prof.Lipumba ktk muundo wa serikali yako mwaka 2015 sikupi kura mara ya pili. TANZANIA BILA MAJUHA INAWEZEKANA.


At LAST I START TO BELIEVE ON CHANGES 31/10/2010

BRAVO TZ MPYA 1/11/2010
 
Amemkubali Slaa

Kweli mtu akipenda chongo huona kengeza prof amesema anamuheshimu dr slaa na amemuomba amuunge mkono kwa kumpigia kura. Na akasema dr slaa ni sawa na kichuguu na yeye ni sawa na mlima kilimanjaro. Prof amelalamikia vyombo vya habari kuwa havimpi coverage yeye na chama chake akatoa mfano kwenye uchaguzi wa serikali za mitaaa wao CUF pamoja na kuibiwa kura walikuwa wapili lakini kwa makusudi kabisa vyombo vya habari hawalisemi hilo na wameamua kumpigia debe fulani ila yeye hawakatazi kumchagua wa kumpigia kura ila watanzania ndio watakaomchagua october 31. Nadhani kwa hoja zake prof zina ukweli wa hali ya juu tungoje tusubiri siku hiyo I mean 31 october
 
dk.slaa anashambuliwa kila pande. Huku lipumba, huku mkerwe. Ila lipumba ni mmoja wa wapinga mageuzi wakuu.
Kauli zake zinadhihirisha wazi.
 
Lipumba kaniboa pale anapomshambulia Dr Slaa kuwa hawezi kujifananisha na yeye.Eti Dr Slaa ni kama kichuguu na Lipumba ni kama mlima Kilimanjaro.Very stupid.
 
dk.slaa anashambuliwa kila pande. Huku lipumba, huku mkerwe. Ila lipumba ni mmoja wa wapinga mageuzi wakuu.
Kauli zake zinadhihirisha wazi.

Quote jinsi gani kampiga vita dr slaa? Au upofu unakusumbua? Sidhani kama amemtusi dr slaa na amesema anamuheshim sana.
 
Naona kuna Ushungi mmoja anamuuliza Lipumba kuhusu Mgombea Mwenza Wa Chadema da, Ama kweli it Lipumba + Mkwere VS Dr. Slaa
 
Sijamponda dr slaa nimesema nikijipima mimi na dr slaa mimi namzidi dr slaa sijamponda ila nimesema vile ninavyoona kwa kutumia utafiti hayo ni maneno yake prof lipumba
 
Lipumba kaniboa pale anapomshambulia Dr Slaa kuwa hawezi kujifananisha na yeye.Eti Dr Slaa ni kama kichuguu na Lipumba ni kama mlima Kilimanjaro.Very stupid.

Jamaa baada ya kusema hivyo tu, watu wakamwamuru mwenye social club kuzima TV na watu wakaondoka, nimejaribu kwenda kwenye bar moja mashuhuri hapa mtaani na wenyewe wamebadlisha channel baada ya tukio hilo, wanacheck super sport.

Jamaa kajiharibia.
 
Back
Top Bottom