Elections 2010 Lipumba live on ITV

Sijamponda dr slaa nimesema nikijipima mimi na dr slaa mimi namzidi dr slaa sijamponda ila nimesema vile ninavyoona kwa kutumia utafiti hayo ni maneno yake prof lipumba

hivi mnakwendaga kozi ya kupindisha ukweli? au kuna matatizo kwenye bongo zenu(wewe na slaa) ?
 
Jamaa baada ya kusema hivyo tu, watu wakamwamuru mwenye social club kuzima TV na watu wakaondoka, nimejaribu kwenda kwenye bar moja mashuhuri hapa mtaani na wenyewe wamebadlisha channel baada ya tukio hilo, wanacheck super sport.

Jamaa kajiharibia.

yule mangi mwenye sosho klabu.
 
mpaka sasa siwaelewi wapinzani kuto kuungana kama kweli wana nia moja ya kuikomboa nchi yetu.

lipumba yeye anajisifia kuwa yeye ni professa kwa hiyo ana uwezo mkubwa kuliko dr slaa. Kasema yeye ni mtani wa kikwete, kwa hiyo anachosema kuhusu ccm ni utani tu. Hivyo anaponda wapinzani wenzake. Hapa anajimaliza mwenyewe.

Hafai huyu kuwa rais. Hatumuhijati kwenye taifa tunayohitaka sisi kwa sasa.

Kwa heri lipumba.
 
Unachukia sana ushungi mkuu? hivi masister wanavaa nini vile kwenye vichwa vyao? Maana huwa nawaona kwa mbali.

Utakuwa Unaumwa Dege Dege lililosababisha kuharibika Sehemu ya Ubongo wako na Ukaharibu hata uwezo wako wa Kuona, ni wapi nimechukia Ushungi?

Kweli wewe Sokomoko sishangai jina lako linajieleza, Ulevi ulevi tu
 
Ha ha ha Unajua bht jana Sikonge na Zubeda waliondoka Kimya Kimya hata Kuaga LoL! Naamini hata Sikonge naye yuko Movenpik
Nilikuwa nasubiri ushtukie mwenyewe, hata kutuaga...mmh

Sikonge nimemuona pale, alikwa kama 'observer' tu, ila darasa bado kwa zubeda kama ulivoshuhudia
 
Wajameni kama Tz ishawahi kupata magenious basi Lipumba tutamhesabu. Leo kasema anamuunga mkono dr.SLAA.

Kaongeza kusema kuwa ila dr slaa ni kchuguu, yeye ni mlima. Kwa maneno hayo basi, usipompa Lipumba basi ongeza kura kwa Slaa ili ashinde kwa kishindo.

Ombi maalum: Dr.SLAA ukimwacha prof.Lipumba ktk muundo wa serikali yako mwaka 2015 sikupi kura mara ya pili.

TANZANIA BILA MAJUHA INAWEZEKANA.
sikweli hajasema anamuunga mkono dr. Slaa amesema anamuheshimu slaa,nakatika ushindani unataka aseme slaa nibora kuliko yeye?kama unampenda slaa sawa ila usizushe uongo.
 
Nilikuwa nasubiri ushtukie mwenyewe, hata kutuaga...mmh

Sikonge nimemuona pale, alikwa kama 'observer' tu, ila darasa bado kwa zubeda kama ulivoshuhudia

Sikonge Kazi Unayo
 
Back
Top Bottom