Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

Status
Not open for further replies.
Hizi tuzo zinapoteza maana kabisa! Juzi katoka msikitini kuhubiri shari, leo anapewa hongera kwa nishani! Ama kweli Tanzania kila kitu ni kinyume-nyume!
Hii ni kwa mujibu wa akili yako inayotazama mambo kwa chuki na ubaguzi dhidi ya watu usiowataka.Kuwa na mwandishi kama wewe ni hatari sana kwa mustakabali wa Tanzania yetu. Lazima tukubali kwamba Tanzania ni ya watanzania wote,hakuna aliye na thamani kubwa kuliko mwingine na wala hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine.Lazima tuappreciate mchango wake wa kuhamasisha amani alioufanya Lipumba,kutumia maguvu hayaleti amani.
 
Sema hayo maneno ya shari aliyoongea msikitini..

Hivi nasari aliposema jk asikanyage arusha na lipumba alipohamasisha waislam msisalale piganoeni haki Zenu nani ni mshari..

Au kwasababu ni muislam, msomi alafu kaongea msikitini.. ?

Waambieee..
 
Ndo Ile amani chama chake kiliamasisha mtwara kupinga gesi kuja Dar. AMA kweli Tanzania ina drama kibao
 
...kama ameipokea basi reputation ya hiyo institution lazima ichunguzwe,yawezakuwa ni yao wenyewe inataka kumsafisha,ima imetumika kisiasa...
 
Watu wa magwanda mnatamani sana Prof ahamie kwenu(yani ahamie parokia ya kaskazini) kitu ambacho hakwezekani,Muislam yeyote anashabikia cdm ni ukweli usio pingika kuwa hajitambui na kwa misingi hii kina Zito,Safari na wengineo hawajitambui na wataishia tu kutumikia matakwa ya maaskof,Chadema haitakaa ishinde urais kwa kuwa kura za waislam kwa kias kikubwa wanagawana ccm na cuf Pigeni kelele tu ila 2015 CDM ni majanga, maandamano ya wahuni hayana impact yeyote.
 
Huu ni mkakati wa kumchafua lipumba naona umepamba moto. Ninachowaambia mnahangaika, Prof.Lipumba hachafuliki,mtahangaika sana.Siku zote wakristo wanapiga kura kwa udini waislam hawakujua lakini mwaka 2010 walijua na mpaka sasa hakuna mwislam asiyejua isipouwa wachache tu,inakoelekea tunakoenda tutapiga kwa dini ya mtu kama wakristo wanavyofanya nadhani hiyo itakuwa nzuri zaidi,tutaona hatma yake.
 
Baada ya kuona uhalali wao wa kutawala 2015 uko mashakani, na kwa kuwa nguvu ya CUF inaelekea ukingoni, ccm wameamua kuwa na strategy mpya ya divide and rule. Wanajaribu kumpandisha chart Lipumba ili kukiimarisha CUF ambao ni wapinzani wa chadema (badala ya kuwa wapinzani wa chama tawal). Sishangai hata ile Kauli yake ya msikitini ya kumnusuru mgombea wa cc m ilikuwa ya kweli.

take my like
 
Huu ni utani.Mhamasishaji mkubwa wa udini ambao unachochea vurugu anapewa tuzo ya amani?Huu ni mzaha kwa wahanga wa mashambulizi ya kidini yaliyofanyika.Ndiyo maana hata kongamano la amani nilisema ni la kinafiki

Angekua Profesa wangu anayesimamia tasnifu yangu ya Shahada ya uzamili au Ph.D ningei-drop immediately.Kwa mkanda wa video wa juzi ningemdharau na ningepoteza imani nae immediatelly!
Mzee wa sumu si bora Lipumba kuliko wewe ulitaka kumaliza Zitto mkuki kwa nguruwe eehhh
 
Huwa nachukizwa sana anapotajwa lipumba na cuf kisha nikaona uislam wangu unatajwa tajwa,nachukizwa sana na hali hiyo??
Watu ifikie hatua sasa wajaribu kuuacha uislam sehemu yake na wanasiasa sehemu yake,unless otherwise tutasababisha mpasuko m-baya sana kwenye jamii hii....
Sawa kabisa mkuu hasa huyu Ben saanane jamaa ni mnafiki sana
 
Sijawahi kubebwa na yeyote kwenye siasa.Usidhani kila mtu anabebwa kama ulivyobebwa wewe kutoka huko Pemba.Wapemba ni watu wastaarabu sana na hata wanasiasa wenye asili ya huko ni wastaarabu sana sijui wewe unatumia jani gani.Unatia aibu

Jibu hoja zilizotolewa na sio kushambulia watu kijuha.
Ha ha haa ukiguswa mambo yako povu linakutoka eehhh hapa ndio jf kila mtuanamazo yake

usitake watu wafuate unayotaka wewe. ahsanta
 
hivi mtambo wetu wa redio imani bado kuanza matangazo..
Redio iman nahisi ilifanya kazi vizuri tuuu.
Ila kiujumla redio imani ni chungu sana kwa wenzetu wasiojua mungu ni nani, nabii isa ni nani, aliyewaumba ni nani

basi chungu hii itawakaa sana rohoni hadi mwisho wa dunia.
Kingine ni kuwa mwenyekiti wa cuf hastahili kwenda msikitini, kuongea na waislamu wenzake,,
haya yote mtajisikia maumivu tuu ila ukweli ndio huo
ee mungu ilete redio imani mapemaaaaaaaaaaaaaaa
Sawa kabisa nimeipenda hii watu wanachuki sana na uislamu juzi juzi Lowasa kachangia

radio Iqra Mwanza wanafiki huku jf wakalalamika povu likawatokaaaa lakini akienda kanisani

kimya utafikiri wamemwagiwa maji ya baridi waislamu kazi tu nayo tujipangeni jamani.
 
Ulipomuhusisha ilunga tu nikajifunza mambo mengi na makubwa sana kuhusu wewe na wafuasi wako akhsante sana nawatakia majadiliano mema...
 
Huyo aliyetoa ushauri nimempuuza kwani kama angekua na busara hizo angeachana na siasa zake za kibaguzi.Sihitaji kuongeza maarifa ya kubagua watu

Kama CUF wanakubali kutumika unataka CHADEMA ifanye nini?Wananchi wanaelewa wapinzani wa kweli ni akina nani.CUF haina tofauti na UPND ya Zambia ambao chama tawala kiliwatumia sana kugawa kura za upinzani lakini Sata na PF wakabaki na wananchi.Kilichotokea uchaguzi mkuu wa mwaka 2011 kilikua ni historia.


Kama mna weledi mkubwa wa siasa kama mnavyojitapa hapa haya yote mngeyaelewa badala ya kujisifu na kuanika ignorance yenu hapa.

Ukishatumia ID fake tu unadhani upeo wako hautajulikana?You are very wrong.

Ni kwa nini usione kuwa CUF inakiharibia zaidi CCM na pia wao wenyewe maana yeyote anayeitetea CCM na kuungana nacho atatumbukia shimoni kama MMD na HPND kule Zambia?

If you come,come correctly otherwise dont come at all.

mfano wako wa kule Zambia hauendani na siasa yetu hapa Tanzania. usiwe unanukuu bila kuweka tafakuri ya kina. elewa kwamba toka mwaka 2010, siasa yetu hapa nchini imejikita, among other factors, katika mgawanyiko na tofauti za dini. Zambia hili jambo halipo sana. kufananisha hali ya kisiasa ya nchi hizi mbili ni jambo ambalo halisadifu hata kidogo. hpnd ni chama kidogo sana kule Zambia. tafiti! mimi bado naamini kuwa cuf hakina nafasi nzuri ya kuchukua ikulu mwaka 2015 japo kitaongeza wabunge wengi bara. chdm kina nafasi kiasi Fulani kama kitacheza karata vizuri kwa kuwavuta na kuwashawishi waislamu. elewa kwamba siasa ya kuwafanya waislamu walio wengi wasiikubali chdm imefanikiwa kwa kiasi Fulani. kwa upande mwengine chdm ielewe kwamba ccm bado ina wakristo wengi sana. hivyo chdm kutegemea kura za wakristo pekee haitochukua ikulu. ccm kina nafasi kubwa kubaki ikulu 2015. vile cuf kipo kati, chama kitakacho cheza karata vizuri na cuf 2015, kitakwenda ikulu. huenda usinielewe ama kwa siasa za kishabiki na kihafidhina au kwa upeo mdogo wa kuona mambo kwa mbali lkn huo ndiyo ukweli. matokeo ya 2010 yasikufanye kudhani kuwa cuf haina watu. la hasha! inao! kutokana na ile video, cuf walikubaliana kumpa jk kura na ccm yake ili padre (ambaye waislamu wanamuhofia) asiingie ikulu. ndugu ben saanane, hii ni siasa na haya ni maoni yangu kiuchambuzi. hatugombani bali tunatofautiana kimtazamo. jpili njema!
 
Sa We Ulitaka Tuzo Upewe Ww? We Na Lipumba Mnafanana? Tupe Cv Yako Ww Mtoa Mada,! Acha Ushabk Wa Kijinga,na Huyo Shekhe Ilunga Amekujaje Hapo?kuna Baadh Ya Watu Ndo Mnaifanya Jf Tuone Kuwa Ina Mfumo Kristo,hapa C Mahala Pake,tuache Udini,msimchukie Mtu Et Kwakuwa Muislamu,
 
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.

My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga



basi tusichukie Lipumba kupewa tuzo ya amani! Slaa nae apewe ya vurugu sio mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom