MGANGA WA KIENYEJI
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 521
- 171
wana jf,
jana nilibahatika kuangalia taarifa ya habari itv na tbc pia. Moja ya habari ilivyorushwa hewani ilikuwa ikimuonesha prof. Lipumba, mwenyekiti wa cuf taifa, akiwasihi waislamu wenzake (nasisitiza hili kwa kuwa prof alitumia neno "nawasihi waislam wenzangu kutokufanya maandamano yoyote kesho (leo) baada ya swala ya ijumaa". Nilitafakari sana na kujiuliza mambo mengi, ni nani huyu profesa lipumba? Alizungumza kama mwenyekiti wa cuf taifa akiwasihi waislam wenzake wasifanye maandamao leo au alikuwa akizungumza "in his personal capacity as prof. Lipumba?". Naomba nipate ufafanuzi wa hili kwa kuwa utangulizi wa taarifa hiyo ulimzungumzia prof. Lipumba kama mwenyekiti wa cuf. Nitashangaa sana leo, kama kweli waislam wataacha kuandamana leo kwa kutii alichosema prof. Lipumba, kwa kufanya hivyo, kwa maoni yangu, "any reasonable person will come to the conclusion that cuf and islam in tanzania are inseparable"
i submit
cuf ndiyo waratibu wa vurugu zote nchini
Hakuna la kushangaa hapa maana ilishasemwa muasisi na mlezi wa uamsho ni Maalim Seif. Na Lipumba ndiye Mlezi wa genge hilo kwa upande wa bara.Cuf ndo uislamu wenyewe.........
CDM ilipata kura nyingi kwenye uchaguzi uliopita kwa kuwa symptoms zake za udini na ukabila zilikuwa zimejificha.Hivi sasa kila mtu ameona ugonjwa wake labda wewe chizi unayevutiwa na helikopta
Usipotoshe..Mkuu, usishangae hizo choko2, fitna, majungu, hitlafu na mambo kama hayo ni mapenzi ya allah! sababu amesha yaweka hayo, ona alivyo wafundisha kwamba; "yeye angetaka mngekuwa kundi moja na mchungaji mmoja lakini hitlafu miongoni mwenu lazima ziwepo!" Na hadith inasema kutakuwa na makundi72 ndani ya uislamu na ni kundi moja tu litakalo nusurika! Kutaka Umoja ndani ya waislamu huoni kwamba unamuona yeye allah ni Muongo? JITAHIDI kuleta hitlafu ili upate barkaa!
Kama si hivyo na mna qurani moja na inawaelekeza kabisa kwamba; "mnapo hitlafiana rejeeni hukumu za qurani, hadith, ima miratul rasul!" quran kwa mwanadamu ni usiku wa giza wanaoielewa ni majini tu!Umebandika ayat za Biblia takatifu bila udhu! Mbona ungekuwa msomaji wa qaraa usingebandika hizo ayat! Ona qaraa inavyokujibu hapo; "Kila umati tumewajaalia kawaida yao ya IBADA na SHERIA ZAO!" Sasa toa ushahidi wa ayat ndani ya qaraa ima Biblia Takatifu kwa Umati wa Bwana Yesu walifundishwa hayo! Wee huoni lakini una macho!Usipotoshe..usipotoshe makundi ya madhehebu HAYO UNAYOSEMA YANAHUSU MAKUNDI MENGINE YANAYO PINGA UISLAM WAISLAM WOTE WANA QURAAN MOJA, hebu kwanza pitia biblia yako ilivo maneno ya mungu: INCEST BETWEEN MOTHER AND SON: (b) "While Jacob (Israel) was living in the land, Reuben (his firstborn, his eldest son) had SEXUAL INTERCOURSE with Bilhah, his father's concubine. " GENESIS 35:22. DAH haya angalia na hapo chini "When Judah saw her (Tamar, his daughter-in-law), he thought she was a prostitute, because she had covered her face. "He went over to her at the side of the road and said, "ALL RIGHT, HOW MUCH DO YOU CHARGE?" (He did not know that she was his daughter-in-law) "She said what will you give me?" (To have sex with me). "He answered, I WILL SEND YOU A YOUNG GOAT FROM MY FLOCK. "She said, "All right, if you will give me something to keep as a pledge until you send the goat. ". . . He gave them (the pledges) to her. Then had INTERCOURSE, and she became pregnant." GENESIS 38:15-I8 na angalia hapa maneno ya mungu yanasemaje "And Judas begat Phares and Zarah of Thamar . . ." INCEST AND RAPE BETWEEN BROTHER AND SISTER: (d) ". . . he took hold of her (Thamar, his sister, not to be confused with Thamar in "c" above), and said unto her, Come lie with me (have sex with me), my sister. 2 Samuel 13:11 "And she answered him, Nay, my brother (Amnon, one of the sons of David, the man after God's own heart), do not force me . . ." 2 Samuel 13:12 "But he would not listen to her; and since he was stronger than she was, he overpowered her and RAPED her (his sister)." 2 Samuel 13:14 haya hayawezi kuwa maneno ya muungu matusi matupu..basi soma biblia uifahamu
Kama si hivyo na mna qurani moja na inawaelekeza kabisa kwamba; "mnapo hitlafiana rejeeni hukumu za qurani, hadith, ima miratul rasul!" quran kwa mwanadamu ni usiku wa giza wanaoielewa ni majini tu!Umebandika ayat za Biblia takatifu bila udhu! Mbona ungekuwa msomaji wa qaraa usingebandika hizo ayat! Ona qaraa inavyokujibu hapo; "Kila umati tumewajaalia kawaida yao ya IBADA na SHERIA ZAO!" Sasa toa ushahidi wa ayat ndani ya qaraa ima Biblia Takatifu kwa Umati wa Bwana Yesu walifundishwa hayo! Wee huoni lakini una macho!