Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

Wamemkosa jembe limepona na anarudi mtaani kuendelea kupambana na wanafiki na wasaliti
 
Mimi sijasema hayo unayoyasema. Huo ni utoko unaotoka kwenye ubongo wako uliojaa giza la Uovu na udhalimu. Unaandika porojo za gwajima na pengo, na ukishaandika unajisikia umetimiza wajibu wako.

Kwa maandishi yako tu inabidi nikuache,
 
Akitoka hapo gwajima atakuwa ametakasika na akili kumkaa sawa, tutegemee ujio mwingine wa gwajima. Ameshapokea utakaso wa pengo. Hahahahahahah
 
Wamemkosa jembe limepona na anarudi mtaani kuendelea kupambana na wanafiki na wasaliti

Hizi comment zenu hazina nafasi tena kwake keshapata joto ya jiwe, wakati nyie mnamtuma koment za kipuuzi kwenye simu zenu huku mkipigwa kiyoyozi yeye anajosa sadaka akiwa kitandani, kasema mumuwache jamani ametakasika
 
kuna watu wamekaa kidini dini sana(wadini). Kuna tofauti ya watu wanaojua dini na WADINI.. alipotembelea dr slaa niliona wadini wakitoa comments za kijinga.. ila huku sijawaona tena
 
Watu wengine humu wamejaa matongotongo kwenye macho na magamba kwenye miili yao.

Hivi nyie mnafikiri kuna swali la kumfanya Askofu Gwajima azimie?

Wala kutokunywa chai sio sababu ya kuzimia kwa Gwajima.Nina mfahamu vizuri huomba na kufunga siku nyingi bila kuzimia,Anao uwezo wa kuhubiri masaa mengi bila hata ya kusikia kizunguzungu wala kihidihidi.

iweje polisi mnatoa sababu za ovyo huku mnataka kutuaminisha uongo wenu?

Semeni mmempulizia nini Gwajima?
POLISI ACHENI UJINGA ILI MPATE KUISHI.
 
Hivi huyo mtaalamu wa mazingaombwe naye mnamtetea eti kisa anajiita mkristo. Alipokuwa anajigamba alisema anawaagiza malaika wamwadhibu Pengo sasa yeye ndiye ameadhibiwa, Aibu ya karne.

Hivi kuna ka ukweli eeehh!! na aliisema pia hakuna atakayemzuia kusema iwe polisi, mahakama au bunge cha ajabu kafika polisi akazima
 

Attachments

  • 1427728554282.jpg
    1427728554282.jpg
    10.3 KB · Views: 225
Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Leo tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital.

Amefurahi kuona hali yake inazidi kuimarika na ameshatoka kwenye wodi ya wagon jawa mahututi,(ICU).

Kumbe kila MTU ni mgonjwa hapa Duniani, yaani kuulizwa ile umeipataje akaanguka puuuu! je angeambiwa tra wanapiga kambi kwenye biashara yake si angekuwa ........... mbele ya haki?
 
Back
Top Bottom