Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Mkuu ukitaka apone haraka police wamwambie hatutakuuliza tena maswala ya biashara zako.
Mtu aliyetukanwa amesamehe sasa nyinyi mnamngangania wa nn.
Usitumie makalio kufikiri. Tumia kichwa!
Anaogopa asije akamporomoshea matusi hakawii huyo.Hapo hatukani kazimia akizinduka huyo balaa.Kikwete hajafika kumwona?ubaguzi haulipi
Kweli bavicha viroba vinafanya kazi, sio huyu Lipumba mlitukana matusi yote aliposema alimuokoa kikwete au kawa mzuri leo? Sijaona vigeugeu kama baayaavichaa
Amke haraka akahojiwe aache maigizo hapo kitandani.
sijakuelewa vizuri huyo mkubwa ana bush nini?maana hapa kuna ishu mbili,gwajima kutukana na pengo kusamehe!!
Jiweke kwenye position yake kuwa ndiyo wewe unaumwa, akili za ushabiki mbaya sana subiri muda utafika tuu
Hana lolote huyo anatafuta huruma ya watu baada ya kuona kibao kinamgeukia sasa ili hali alijitapa kuwa yeye haogopi polisi,mahakama wala bunge !
Amalize haraka kuigiza ili akaendelee na mahojiano polisi.