Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

mkuu ulivyoelezea ni kama vile hayo ni mafanikio makubwa sana, hii inapingana na hali halisi kabla ya kura maana tuliaminishwa nchi inaenda UKAWA, sasa kwa vyama vilivyodhaniwa kuchukua nchi na hiyo idadi ya wabunge waliopata ni tofauti sana, kwangu hilo ni anguko.
 
Anguko gani hilo kwa jinsi figisu figisu zilizokuwepo masanduku fake ya kura na uchakachuaji wa hali ya juu. Hapo utalaumuje tena wakati mfumo wa democracy kwa nchi za ki Africa unajulikana sio huru na haki. How about Zanzibar ingekua kwa nchi nyingine ningekubaliana na wewe sio kwa Tanzania tunapga kura kutimiza wajibu
 
Unajua Diva tatizo lenu ni kuukataa ukweli, wabunge wangapi wa upinzani wanalalamika kushindwa kwa kuibiwa? huwezi niambia kwa idadi ile ya wabunge angekuwa Rais, haiwezekani. Wabunge wengi wameshindwa kuhalali, ukitaka malalamiko hata Wasira naye analalamika kuibiwa kura.
 
Last edited by a moderator:
Nyie hamwajui wanasiasa, wanapenda kuwa covered na media, kitendo cha kutokuwa mwenyekiti anaona picha zake hazipo kwenye magazeti, TV hawamfanyii interview anaona atapotea, kwa hiyo anafanya juhudi ili vyombo vya habari visimsahau
 
hahahaaa,yani ametusaliti katkat ya safar sasa ndio anaona anarudi billion 3 alizopewa zimeisha binafsi napendekeza afutwe uanachama kabisa ameturidisha nyuma sana hakuna dhambi mbaya kama usaliti sitamsamehe lipumba na slaa hata siku moja.

Pesa aliyopewa kapuputishwa na michepuko si unajua lipumba huwa hana Mke sasa alikuwa akichepuka sana mpaka kule Rwanda na congo ana miichepuko yake sasa pesa imekwisha kaanza kujipendekeza kijanja.
 
Angerudi UDSM ningemwelewa sana siasa kashashindwa
 
Lipumba ile pesa aliyopewa ili asariti Ukawa kaitumia vibaya kutokana na kutokuwa na Mke wa ndoa, katumia pesa nyingi na michepuko alikuwa akijua kuwa Zanzibar hawatafanikiwa wala bara hawatapata wabunge na madiwani wengi, baada ya kuona mafanikio makubwa kajitua tamaa zake kaamua kuwanunua wanachama wenye njaa buguruni makao makuu ili wampokee aanze mbinu za kurejea huku akisubiria Ubunge wa kuteuliwa na Magufuli ikiwa ni fadhila kwake.
 
Nyie hamwajui wanasiasa, wanapenda kuwa covered na media, kitendo cha kutokuwa mwenyekiti anaona picha zake hazipo kwenye magazeti, TV hawamfanyii interview anaona atapotea, kwa hiyo anafanya juhudi ili vyombo vya habari visimsahau

Lipumba kaahidiwa Ubunge wa kuteuliwa na Magufuli hivyo kaamua kujisogeza akisubiria Ubunge wa fadhila.
 
Kwa mtu msaliti kama huyu kupokelewa kwenye ofisi za chama alichokiacha njia panda ni ujasiri wa hatari sana !
 
lipumba akipewa uongozi au akiruhusiwa kurudi CUF najiunga CCM Rasmi utakua ni kutufanya wajinga sie wananchi

Kamaliza pesa aliyopewa michepuko imemfirisi sasa kaamua kurudi ili aje kusubiri Ubunge wa kuteuliwa na Magufuli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom