Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

Lipumba leo kazungumza na waandishi wa habari akiwa ofisi za CUF kasema mazungumzo yafanyike Zanzibar ili kupata suluhu na Magufuli kama yupo serious na rushwa aanze na walioiba pesa za Escrow kuwapeleka mahakamani...

..Wanachama wa CUF wamempokea vizuri Lipumba na wengi wamejitokeza.. Binafsi naona hata Lipumba 'hakutegemea' UKAWA wangefanya vizuri kiasi hiki na sasa anarudi 'kufaidika' na faida iliyopatikana<br>ya viti vya Ubunge na halmashauri tele

UKAWA walizoshinda.....Ukitazama uchaguzi ulivyotokea ni kama hata UKAWA hawakuwa ready kwa CCM kuondoka....sidhani kama

kuna hata mipango ya namna ya kuendesha manispaa zilizopatikana hasa za Dar...na hata walipoibiwa kura Mbagala na Kigamboni za ubunge sioni hata 'reaction' inayostahili.... watu wa Dar walipiga kura kuitoa CCM completely...

CCM ,UKAWA na kina Lipumba hawakuona this coming...

==================================



Chanzo:
Mwananchi
CUF bado wanamkubali kiongozi wao ila wanaogopa vitisho wanavyopewa na vijana wa Lowassa endapo watamrudisha madarakani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom