Lipumba 'aisigina' CHADEMA bungeni

Lipumba 'aisigina' CHADEMA bungeni

Nayeye ajpime ni kwa kiasi gani cuf imewatumikia watanzania kama sio kuonekana wanawatetea watanzania alafu nyuma ya pazia lao moja na ccm.Tena katika bunge la awamu hii wameonyesha wazi kuushambulia upinzani wa CDM

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Prof, ungetutolea mfano wa hizo hoja ambazo ni kwa ajili ya cdm, ndio maana CUF ilishindwa kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani.

In short, kama cuf ilikuwa ikijenga hoja bungeni iweje leo cdm iwazidi na kuwa chama kikuu cha upinzani?

Kama hata walishindwa kupambana na propaganda ya udini ndio wataweza kujenga hoja za kuikwamua tanzania na umaskini?

Ni bora CUF watoe boriti katika jicho lao ndio waone kibanzi kwenye jicho la cdm.

Kwenye bold hapo, moja ya hoja za Mbowe katika hotuba ya kuchangia bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ilihusu suala la Lwakatare. Is this not a party issue?

Hii haikuwa issue ya kitaifa bali ilijikita zaidi kwenye maslahi ya chama.
 
Lipumba yupo sahihi kaiua onyesheni mikutano ya cuf mnaficha niñi juzi liwale mkutano mkubwa mbona hamkutoa ktk tumeona ktk cd tunajua media zinaibeba Cdm Kigoma mmeunda halmashuri na ccm je ni ndoa sabodo anawapa pesa na ni ccm mbona Hawapi cuf na kuna Siri gani kila anathema chadema anaenda ccm na anaehama ccm anaenda chadema kuna urafiki gani hapo msituzuge wote mabepari mnajuana Kama znz wamefunga ndoa Vipi maalim Seif atake muungano Wa mkataba mtawadanganya wachaga Wenzenu moshi sisi tunafuatilia cd za cuf tunaona viongozi wao wanavyopambana kuundoa Mfumo atokee kiongozi jasiri Wa chadema amkosoe nyerere subutu cuf wanaweka wazi jinsi Nyerere alivyotuburuza
 
UCHAGUZI MKUU 2015 CHADEMA TUKO PEKE YETU HUKU VYAMA VINGINE VYA 'UPINZANI' TAYARI VIKIPATA BEI HATA KABLA YA MBIO KUANZA

Ujumbe wa Profesa Lipumba ni neema na baraka kwa wapigania ukombozi wa kweli kupata picha halisi ya aina ya kambi ya upinzani tulionayo kabla ya kuchelewa sana.

Kama Lipumba anadiriki kutoa kauli ya kumshushia hadhi kiasi hiki kwa mtindo huu kwa vyombo vya habari, je anapokua faraghani na CCM uvundo wa mazungumzo yao yatakuaje?

CHADEMA sikilizeni na tupate kuimarika azma zaidi na zaidi; The Strongest Political Party in a scarthing Revolution against all odds and ills in a Nation is the party that seeks to stand its ground ALONE while surrounded by a critical mass of the electorate. Hili la Prof Lipumba nalo ni KIHUNZI nacho tutakiruka kwa uweza wake Mwenyezi Mungu hadi tufike kule WaTanzania wanakotutaka tukawafikishe tena bila kuchoka!!!

Siku CHADEMA kitakapogundua ukweli huu mchungu ya kwamba katika vita vya ukombozi wa walalahoi kuna chama kimoja tu na utitiri wa vyama vya 'upinzani' vilivyogeuka kuwa vibanda vya 'wafanyabiashara', nasema siku wapiga kura nasi tutakapo tambua ukweli huu na kupiga kura CHADEMA bila kutawanya kura hata moja nje - ni siku hiyo ndipo ukombozi wa kweli utakapowadia kwetu nchini bila chenga wala unafiki. Na siku hiyo ninayozungumzia ni siku ile isiokua na jina katika mwezi Oktoba 2015.

WaTanzania Walalahoi tulio wengi, naamini wengi mtakua mmepigwa na butwa baada ya kusoma ujumbe huu toka CUF dhidi ya CHADEMA lakini ni vema imejulikana mapema kwamba chama pekee cha upinzani nchini ni kimoja tu vingine vikigeuka mighahawa ya CCM kuja kutumika kutafuta kushinda azma yetu kutaka mabadiliko kama ambavyo tulivyoshuhudia vyama vikitumika kwenye uchaguzi nchi jirani ya Kenya.

Lipumba tumekusikia, amani tunakutakia; ni kawaida penye siagi watu kuegemea na usomi wao wote kupotelea pindi tumbo linapotokea kuwa ndicho mzania wa kufikiria!!

Nenda utokomee mwanakwetu, nenda, Lipumba nenda, wala usijali kitu WaTanzania watu wadogo wanaolia kwa machungu ya kuonewa na kutamani kupata mtetezi na mfariji kwao
!!

Lipumba nenda; alimradi familia yako imekula vizuri ikashiba, hata kama UFISADI umetanda kila kona ya nchi na watu kukosa haki, nasi huku uswahilini shiba yako ni neema tosha kwetu na ndio maana kwa kauli moja tunakushangilia na Chama Cha Wananchi CUF kwa ujumbe huo hapo juu!
 
Usiku kwa wenye ndoa yanatokea maamuzi mengi usishangae mama akiamka na mawazo ya ajabu kama haya
 
Mke kumtetea mumewe ni jambo la kawaida. Hongera Pro uchwara.

Kweli kabisa hana elimu angekuwa na elimu ya dr wa ukweli sidhani kama angeongea hivyo Teh teh teh

Waswahili wanasema kuna wakati mwendawazimu anaweza kusema maneno kumi mawili yakawa ya maana je hakuna hata moja lenye maana na ukweli? Au ndio yale yale ya kushabikia ushabiki wa kijinga? Ni mtazamo tu.



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Namheshimu sana Prof. Lakini naona kajichanganya mno katika hoja hii.
Anaposema wapinzani wanashindwa kujenga hoja halafu wakati huo huo anasema mawaziri wanatoa majibu mepesi, hapo anamaanisha nini?
Majibu mepesi kwa maswali gani? Waliyojiuliza mawaziri wenyewe au kutoka upinzani. Kama ni kutoka upinzani amewezaje kujua kwamba jibu ni jepesi iwapo swali halikuwa na hoja ya msingi kwa wa-Tz kama alivyodai yeye mwenyewe?

Binafsi nimeona Mh. Lipumba ameshindwa kujieleza.

wakuu, lipumba as a learned brother anatakiwa alifresh his mind. nasema alifresh his mind. namuomba alinganishe umahiri wa cuf ilivyokuwa ni leading oposition na sasa cdm uko vipi?
 
Haya ni matokeo ya chama cha Lipumba kuwa unpopular kwa wananchi. Anachofanya sasa ni kutapatapa tu kwani wabunge wa CUF wamezuiliwa kuchangia bungeni na hoja zao kuonekana kama zina mashiko? Kwani ni wabunge gani hasa wa chama chake ambao wamesikika bungeni wakitoa hoja za kuitikisa serikali/wabunge wa ccm. Kama ni mbinu za kuwabana wabunge wa ccm/serikali wakati chama chao kilikuwa chama rasmi cha upinzani mbona kilishindwa kuiwajibisha serikali? Mbona huyu professor haelezei chama chake kiliwabanaje wabunge wa ccm/mbinu zipi walizitumia kuwabana wabunge wa ccm/serikali? Nyie acheni kuwaonea wivu chadema, tafuteni umaarufu wenu kwa kujenga hoja bungeni zenye maslahi ya wananchi sio kuwa ccm B. Waambie wabunge wako watoe hoja za nguvu bungeni nasi tutaweza kuwaona km ni zaidi ya ccm na chadema. Otherwise ni mfa maji hakosi kutapatapa na mbaazi akikosa maua husingizia jua. Kwa hakika chama cha CUF hakionyeshi makali yoyote bungeni kwa sasa.
 
Tangia CUF ijiunge na CCM, Lipumba amekuwa akianza kutoa pumba naye.
Hoja ya Mnyika ya maji darisalamu ilikuwa inataka kuleta maji kwa wanachama wa CHADEMA tu???
Hoja ya Nassari ya Elimu je, ilikuwa elimu kwa wana CHADEMA tu???

Achana naye mbumbu huyo....si unajua tena ndoa ilivyo tamu ndugu yangu!
 
Lipumba nae anabeba hoja za kukibeba chama chake tu hana lolote...
"Mawaziri wanatoa majibu mepesi kwa maswali ya msingi kutoka kwa wabunge wa upinzani"
Nukuu hiyo inatosha kumtambua Lipumba in depth....na sio kubase kwenye heading...
Mwisho ajiulize kwa nini ameshindwa kumantain nafasi ya kambi rasmi ya upinzani bungeni...?
Na pia ajiulize kura about 9000 za mgombea wao Igunga zilienda wapi?
Zaidi kwa nini hawakushiriki uchaguzi mdogo Arumeru!
By the way,watanzania hawataki wabunge waoga...wanaotoa hoja za kubembeleza...bungeni sio mahali pa kubembeleza ndoa ebo!
 
wakuu, lipumba as a learned brother anatakiwa alifresh his mind. nasema alifresh his mind. namuomba alinganishe umahiri wa cuf ilivyokuwa ni leading oposition na sasa cdm uko vipi?

Anataka na CHADEMA watoe hoja za kutongozana mwisho wafunge ndoa!
Siasa za sasa ni kama anavyoona chama chake wanavyofanya mtwara....
Ukombozi huja kwa nguvu....passive resistance ndo maana haikufua dafu!
 
Mh. Lipumba unaheshimika
hebu chambuzi zako jitahidi zisiwe na dosari au mwandishi kaongeza ya
kwake? Maana utakuja ulizwa hivi Nawewe ni Professor?

sitoshangaa kama unaweza kumuuliza mama aliyekuzaa hv na wewe ni mama? sa utashindwa kumuliza lipumba kama naye ni prof...nyie tena wasomi nguli wa nchi hii mnawezekana, sentensi zenu tatu za kingereza ushajiona newton
 
Lipumba yupo sahihi kaiua onyesheni mikutano ya cuf mnaficha niñi juzi liwale mkutano mkubwa mbona hamkutoa ktk tumeona ktk cd tunajua media zinaibeba Cdm Kigoma mmeunda halmashuri na ccm je ni ndoa sabodo anawapa pesa na ni ccm mbona Hawapi cuf na kuna Siri gani kila anathema chadema anaenda ccm na anaehama ccm anaenda chadema kuna urafiki gani hapo msituzuge wote mabepari mnajuana Kama znz wamefunga ndoa Vipi maalim Seif atake muungano Wa mkataba mtawadanganya wachaga Wenzenu moshi sisi tunafuatilia cd za cuf tunaona viongozi wao wanavyopambana kuundoa Mfumo atokee kiongozi jasiri Wa chadema amkosoe nyerere subutu cuf wanaweka wazi jinsi Nyerere alivyotuburuza
Mkuu umepotea njia nini!


A lie has speed,but truth has endurance
 
Lipumba kachemsha arudi darasan asomee siasa namwona kama mbumbu Flani ivi about siasa tukimuliza kipindi chama chake kinaongoza kambi ya upinzani walisaidia nn taifa watanzania tunaona cdm wapo sahihi ndo maana bado walio wengi wana imani nao,,cdm kaza mwendo sijui alitaka muwe waenezi wa chama chake? !!!!
 
Lipumba ametafiti akagundua hayo mtu kama anapiga nalipumba na uala kufanya uta ndipo apinge biluwa n sababu za mosingi
 
wakati CUF wanzongoza kambi ya upinzani, wabunge wa CHADEMA ndio waliokuwa wakiwika bungeni.
 
Back
Top Bottom