Mharakati Tanzania
Senior Member
- Apr 13, 2013
- 100
- 12
Ni mbunge gani wa Cuf anayejenga hoja bungeni ?
Prof naona anataka kufanana na Kinana
Prof naona anataka kufanana na Kinana
Wewe kweli akili hamnazo, swala la ugaidi ni swala la chama?? Understand the motive behind,, alichosema mbowe ni comparison kati ya kesi halisi za ugaidi na kesi feki...kesi halisi hazishughulikiwi na kesi feki ndio zinashughulikiwa kiasi kwamba wananchi tunakosa imani na serikali.
Ni mbunge gani wa Cuf anayejenga hoja bungeni ?
Prof naona anataka kufanana na Kinana
ahahahah ahahah ahahah... wapemba bwana kwa kuuchukia ukristo!Walaka Wa kanisa Ndio uliowabeba chadema kila Mtu anajua kwa sera zipi mlizonazo kiboko yenu mwigulu
Lipumba yupo sahihi kaiua onyesheni mikutano ya cuf mnaficha niñi juzi liwale mkutano mkubwa mbona hamkutoa ktk tumeona ktk cd tunajua media zinaibeba Cdm Kigoma mmeunda halmashuri na ccm je ni ndoa sabodo anawapa pesa na ni ccm mbona Hawapi cuf na kuna Siri gani kila anathema chadema anaenda ccm na anaehama ccm anaenda chadema kuna urafiki gani hapo msituzuge wote mabepari mnajuana Kama znz wamefunga ndoa Vipi maalim Seif atake muungano Wa mkataba mtawadanganya wachaga Wenzenu moshi sisi tunafuatilia cd za cuf tunaona viongozi wao wanavyopambana kuundoa Mfumo atokee kiongozi jasiri Wa chadema amkosoe nyerere subutu cuf wanaweka wazi jinsi Nyerere alivyotuburuza
CHADEMA sio kwamba hawajengi hoja all the time. Ila baadhi ya nyakati wanalewa sifa na kujisahau kama ilivyokuwa kwenye hii session inayoendelea. Ndio maana hakuna chochcote cha maana katika wiki ya mwanzo kilichojadiliwa zaidi ya wabunge kushindana matusi na misamiati.
Chaguzi za Tanzania sio Huru Wala haki Ndio mana Mtu Kama Lipumba Ngumu kushinda hoja ya kugombea mala nyingi soma histor rais Abraham linkon Wa marekani kagombea mala ngapi hadi Ka win maiko sata Wa Zambia mala nyingi mwai kibaki kipenzi chenu tulichokipiga chini na hadi Gari ya kampeni mlipeleka kwa odinga amegombea mala nyingi mbona hamsemi iwe nongwa kwa Lipumba au mnaagenda ya Siri mbona mtikila hamumsemi mabepari lazima wamchukie Lipumba mkweli
Bocho,jibu hili swali
.
.
By Mharakati Tanzania: Ni mbunge gani wa Cuf
anayejenga hoja bungeni ?
Prof naona anataka kufanana
na Kinana
Huyu naye analake jambo. Kwa uprof wake hawezi kuona hoja za upinzani bungeni? Hawezi kuona manyanyaso yanayofanywa na spka dhidi ya wabunge wa cdm? ama kweli safari bado kitambo kidogo!
Note: Huku mitaani wafuasi wengi wa mlengo wa prof sasa ni supporters wa jk aidha kwa....au kwa ushabiki tu. Mbinu yao hapa nikuunganisha nguvu for 2015ccm.
Ni kwa sababu chama chake kiliolewa na magamba, wanawake ni mpaka wawezeshwe ndo waweze lipumba bado hajawezeshwa na mwanandoa mwenzakeProfesa Lipumba ana haki ya kusema lile analoamini hata kama litapata watu wawili kwa kila watu kumi kwa lile alilolisema. Profesa Lipumba 1995 aligombea urais akashindwa; 2000 akagombea tena akashindwa; 2005 akagombea tena akashindwa; 2010 akagombea tena akashindwa. Ninaomba yeyote mwenye kujua siri ya kushindwa kwake kwa mara zote anapogombea urais. Pili, ninaomba yeyote mwenye ushawishi mvuto anishawishi kwa nini na kwa yapi niendelee kumwamini Profesa huyu wakati alikuwa mshauri mchumi wa Rais huko nyuma na matokeo hasi ya ushauri wake yanayoonekana hadi leo hata kumfanya Profesa mwenyewe kwa kujua au kusahau, kuanza kubeza ushauri wake mwenyewe kwa sera mfu za serikali alizozitumikia huko nyuma?
Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kushindwa kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo wa kwenda bungeni na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania wote kama jinsi CCM wanavyofanya.
Kambi rasmi ya upinzani imepoteza uwezo wa kujenga hoja za mashiko na mbinu madhubuti za kuwabana wabunge wa CCM bungeni na badala yake Chadema, wamekuwa na tabia mbaya ya kubeba chama chao, alisema Profesa Lipumba.
Alisema kambi rasmi ya upinzani pia imeshindwa kulinda utaratibu mzuri wa kutetea masilahi ya umma bila jazba na hoja zenye mashiko kama ilivyokuwa miaka ya nyuma ilipokuwa ikiongozwa na CUF, Kiongozi huyo alisema kambi ya upinzani inapaswa ijipange upya kwa utaratibu na mikakati mizuri ya kuteta hoja za wananchi bila kuyumbishwa na wabunge wa CCM.
Bunge usiwe uwanja wa kuonyesha mbwembwe za chama bali uwe uwanja wa kutetea haki za wananchi, wabunge wanapaswa wabadilishe mitazamo ya kuona bungeni ni sehemu ya kujionyesha kisiasa na chama chako kinafanya nini nje ya Bunge, alisema Lipumba.
Alisema viongozi wa Serikali wanapaswa kubadilika kuhusu namna ya kutoa majibu bungeni.
Profesa Lipumba alisema mawaziri wengi wanakuwa wakitoa majibu mepesi katika maswali ya msingi yanayoulizwa na wabunge wa upinzani.
Alisema Bunge linatumia muda na pesa za walipakodi vibaya kwa baadhi ya wabunge kuwa na ubishi usiokuwa na tija, kutoleana matusi na wengine kuingilia hoja za wenzao bila sababu za msingi.
Profesa Lipumba pia alisema Spika wa Bunge, Anne Makinda amepoteza uwezo wa kuliongoza Bunge.
Source: Gazeti la mwananchi
Lipumba yupo sahihi kaiua onyesheni mikutano ya cuf mnaficha niñi juzi liwale mkutano mkubwa mbona hamkutoa ktk tumeona ktk cd tunajua media zinaibeba Cdm Kigoma mmeunda halmashuri na ccm je ni ndoa sabodo anawapa pesa na ni ccm mbona Hawapi cuf na kuna Siri gani kila anathema chadema anaenda ccm na anaehama ccm anaenda chadema kuna urafiki gani hapo msituzuge wote mabepari mnajuana Kama znz wamefunga ndoa Vipi maalim Seif atake muungano Wa mkataba mtawadanganya wachaga Wenzenu moshi sisi tunafuatilia cd za cuf tunaona viongozi wao wanavyopambana kuundoa Mfumo atokee kiongozi jasiri Wa chadema amkosoe nyerere subutu cuf wanaweka wazi jinsi Nyerere alivyotuburuza
Mume kamtuma mke aongee kwa niaba.
Walaka Wa kanisa Ndio uliowabeba chadema kila Mtu anajua kwa sera zipi mlizonazo kiboko yenu mwigulu
Chaguzi za Tanzania sio Huru Wala haki Ndio mana Mtu Kama Lipumba Ngumu kushinda hoja ya kugombea mala nyingi soma histor rais Abraham linkon Wa marekani kagombea mala ngapi hadi Ka win maiko sata Wa Zambia mala nyingi mwai kibaki kipenzi chenu tulichokipiga chini na hadi Gari ya kampeni mlipeleka kwa odinga amegombea mala nyingi mbona hamsemi iwe nongwa kwa Lipumba au mnaagenda ya Siri mbona mtikila hamumsemi mabepari lazima wamchukie Lipumba mkweli
CHADEMA sio kwamba hawajengi hoja all the time. Ila baadhi ya nyakati wanalewa sifa na kujisahau kama ilivyokuwa kwenye hii session inayoendelea. Ndio maana hakuna chochcote cha maana katika wiki ya mwanzo kilichojadiliwa zaidi ya wabunge kushindana matusi na misamiati.
Asante profesor kwa kuliona hilo, hapa juzi kati niliweka uzi unaonyesha jinsi "wabunge wachadema wanavyokera sana" bungeni hawa mambumbu na waendeshwa na hisia wakaleta vioja kama walivyowabunge wao na kukosa hoja za kuwatetea wabunge wao matokeo yake wanaanza mbona mbona n wewe usubiri waje utakiona cha mtema miwa.