Ukipata bei uje nikununulieHabari wapendwa hususan watumiaji wa lipustic kama za aina hii ni bei gani???
Msaada tafadhaliView attachment 960278View attachment 960280
Baby ninunulie na mmUkipata bei uje nikununulie
Haya njoo na beiBaby ninunulie na mm
Za wema sepetu hamzitaki??Na mie nasubiri bei na zinapopatikana sababu ni mmoja kati ya wapenda Lipstick
Tunataka za pichani.Za wema sepetu hamzitaki??
Za Flaviana matata je?Tunataka za pichani.
Tunataka za pichani.
1000, mpaka, 1500, use at your own riskHabari wapendwa hususan watumiaji wa lipustic kama za aina hii ni bei gani???
Msaada tafadhaliView attachment 960278View attachment 960280