Lips implant inapokataa

Je zimekuwa laini au ngumu? Kama ni laini kwa kujaa maji hazina ubaya, ila kama ni ngumu hasara.
 
Hivi kuna aliyejiumba mwenyewe upo kama ulivyo ni kazi ya muumna tuwakosoe wanaojichubua kuongeza makalio matiti dushelele nk vinginevyo tumwachie muumba hujui ya kesho unaweza pata ajali ukawa wa ajabu huamini kama ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…