nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
Katika "KUZUGA" kuwa inawajali wateja wake kampuni ya MultiChoice inayomiliki king'amuzi cha Dstv inazidi (KUSHUKA CHINI) kwa kuwasogelea wanaolipia kifurushi cha Bomba waone mechi za Klabu Bingwa Ulaya.