Lipi neno sahihi kwa mtu anayekwambia "i love you" au "nakupenda"

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Mimi mtu akiniambia i love you au nakupenda huwa najibu; "kupenda ni kitu kizuri" au najibu "ni kawaida kwa binadamu ambae yupo normal kupenda binadamu wenzake" au mara nyingine najibu "Mungu akubariki" au "Ni wazo zuri" au saa nyingine najibu kwa imoj ya "☺️" Lakini mara nyingi ninaowajibu wanakuwa kama hawapendezwi na majibu hayo. Neno sahihi kwa mtu anayesema i love you ni lipi? Wewe huwa unawaambia vipi watu wanaokwambia i love you?
 
Mimi mtu akiniambia i love you au nakupenda huwa najibu; "kupenda ni kitu kizuri" au najibu "ni kawaida kwa binadamu ambae yupo normal kupenda binadamu wenzake" au mara nyingine najibu "Mungu akubariki" au "Ni wazo zuri" au saa nyingine najibu kwa imoj ya "" Lakini mara nyingi ninaowajibu wanakuwa kama hawapendezwi na majibu hayo. Neno sahihi kwa mtu anayesema i love you ni lipi? Wewe huwa unawaambia vipi watu wanaokwambia i love you?
Ngoja uguse 30 ,,utabadirisha tu aina ya majibu
 
Napenda sana jina lako linanikumbusha mbabe mmoja wa kuitwa Marlo Stanfield kwenye, " The wire."

Tukirudi kwenye swali lako, inaonekana wewe ni mchoyo wa fadhila. Ukiambiwa " I love you " itikia " I love you too" au namna yoyote inayoreciprocate hiyo fadhila.
 
I luv u back..
Pia kulingana na jins yako...
Hivi we Ni Mke au Mvulana.!?
Kama ni mke ni vizuri kuepuka majibu ya kikahaba kama "Asante" vi "emoji"..
Pia angalia na situation ya namna neno ulivyoambiwa ,je umeambiwa kimapenzi ya Kirafiki au ya Kuchungiliana miili...ukijibu hayo maswali nitag ..Nitakuja kukupa namna nzuri ya kujibu hilo neno kulingana na muktadha,lugha na hata umri pamoja na Mood yako au ya mtu husika...🙌🙅
 
Acha kukompiliketi maisha, kwani ukimjibu mtu kiustaraabu "Asante sana" au "nakupenda pia" depending how mmezoeana utatoboka mwili?

Jichunguze sana, maana uzeeni unaweza kuwa mchawi.
Na complicate maisha kivipi? Hayo ndio majibu niliyozoea na naona ni kawaida tu ila watu sijui wanakuwaga na majibu yao kichwani wanayotaka kusikia. Halafu kuwa mchawi sio kitu kibaya inategemea unatumia vipi uchawi wako.
 
Napenda sana jina lako linanikumbusha mbabe mmoja wa kuitwa Marlo Stanfield kwenye, " The wire."

Tukirudi kwenye swali lako, inaonekana wewe ni mchoyo wa fadhila. Ukiambiwa " I love you " itikia " I love you too" au namna yoyote inayoreciprocate hiyo fadhila.
Utamjibu mtu i love you too hata kama humpendi? Si unafiki huo
 
Thank you au Asante.
Mimi mtu akiniambia i love you au nakupenda huwa najibu; "kupenda ni kitu kizuri" au najibu "ni kawaida kwa binadamu ambae yupo normal kupenda binadamu wenzake" au mara nyingine najibu "Mungu akubariki" au "Ni wazo zuri" au saa nyingine najibu kwa imoj ya "" Lakini mara nyingi ninaowajibu wanakuwa kama hawapendezwi na majibu hayo. Neno sahihi kwa mtu anayesema i love you ni lipi? Wewe huwa unawaambia vipi watu wanaokwambia i love you?
 
I luv u back..
Pia kulingana na jins yako...
Hivi we Ni Mke au Mvulana.!?
Kama ni mke ni vizuri kuepuka majibu ya kikahaba kama "Asante" vi "emoji"..
Pia angalia na situation ya namna neno ulivyoambiwa ,je umeambiwa kimapenzi ya Kirafiki au ya Kuchungiliana miili...ukijibu hayo maswali nitag ..Nitakuja kukupa namna nzuri ya kujibu hilo neno kulingana na muktadha,lugha na hata umri pamoja na Mood yako au ya mtu husika...🙌🙅
Sasa unaanzaje kumuambia usiempenda i love you back?
 
kuna wanawake ni ngumu kukwambia "nakupenda"
Hata Wangu yuko hivyo.
Ila namchukulia kawaida.
Kama anatoka kwao kuja kwangu kuniletea mzigo hyo ni zaidi ya kuniambia ANANIPENDA.
Demu wangu mmoja ilinichukua miaka....nikimwambia I LOVE U anajibu I KNOW.
 
Back
Top Bottom