Amani iwe pamoja nanyi wakuu.
Kwa wale wadau wa smartphones hasa wale wanaoelewa internal (software) specs na external(hardware) , Chaguzi ipi inaweza ikawa sahihi kwa mtu anyetaka kununua smartphone zikiwepo option mbili ,kati ya Nokia 2 na Infinix note 4.
Kwa kuzingatia:
* Bei na ubora wa simu yenyewe, yaani durability, software flexibility.
* Chip set iliyopo ndani. (snapdragon versus mtk)
* Battery capacity.
* Camera sensors ukiachana na megapixels.
Na sifa nyingine ambazo wadau mwaweza tiririka.
Bei ya hizi simu kwa makisio japo sio rasmi :
Nokia 2 according to gsm arena ni 320,000/= mpaka 350,000/=, japo kibongo bongo utapigwa mpaka 400,000/=
Infinix note 4 according to kkoo kwasababu hii gsm arena huwez ikuta, 370,000 mpaka 420,000/=
Sifa zake au Specs mwaweza google ila kama kuna ulazima wa kuzitupia hapa ntaziweka kwasasa nimebanwa kidogo na majukumu.
Nimekuwa interested kulijadili hili baada yakuona nokia 2 ikiwa inakaribiana bei na infinix note 4 while ina specs za chini kidogo hasa kwenye storage ukilinganisha na infinix japo kampiga bao kwenye chip set cuz nokia kainstall snapdragon while infinix ni MTK. Japo pia snapdragon ya nokia ni low .
Naombeni mawazo yenu ndugu zangu.