Lipi bora?

Lipi bora?

Masaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,463
Reaction score
755
Ugundue kwamba mkeo/girlfriend wako analiwa na jamaa mwingine, au anasagwa na demu mwenzake?
 
Bora aliwe na jamaa I see... Kusagwa!... Hapana... Ni fedheha kubwa ndani ya jamii.
 
Kosa moja huwa halilifanyi kosa jingine liwe na afadhali, matendo yote mawili ni ya fedheha...
Yote si maadili ya ndoa hivyo mke wa namna hiyo sidhani kama anastahili kuendelea kuitwa mke...

Ugundue kwamba mkeo/girlfriend wako analiwa na jamaa mwingine, au anasagwa na demu mwenzake?
 
2nd option. because unaweza ukaomba 3some
cc The Boss

.....afadhali aisee, duhh!
Kuna tofauti kubwa kati ya kuongeza chumvi katika chakula na ile ya kutaka achali (kuongezea ladha)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom