Lipi bora kati ya biashara na elimu katika maisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipi bora kati ya biashara na elimu katika maisha?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Allysalim51, Jul 23, 2012.

 1. A

  Allysalim51 New Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu ndugu zangu.

  Jamani naombeni ushauri natamani mambo mawili (2); yaanni kusoma na kufanya biashara sasa nashindwa kuamu lipi ni fanye lipi niache lakini nikaona ngoja nililete hapa kwenu mnisaidie mawazo yaliyoambatana na vigezo vya kuzingatia kila kipengele.
   
 2. S

  Slaker JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Recently achana na xkul,mbona cyo issue do hayo ma buzness kama n payng 1,thn utawaona wa tz wenye videgree nothn.........
   
 3. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ww utakuwa mpigamsuli umekuja kwa ID mpya
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Umuhimu wa ELIMU unategemea level ya UJINGA ulionao........
   
 5. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ushauri wangu elimu ni azina kubwa kwenye kichwa chako biashara utafanya ila ikifirisika hapo ni mtihani hivyo unapaswa uwe na elimu ya kutosha then ukijichanganya kwenye biashara itakuwa imeturia sana.
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  actually you need BOTH.Unahitaji elimu ya level fulani (say diploma) ili ikusaidie kupata mafanikio SUSTAINABLE kwenye biashara. Bila elimu utakuwa unafanya majaribio with RELATIVELY higher risk of failure.
  Tunasoma ili kupunguza risk ya kushindwa. Vinginevyo
   
 7. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Bill Gates, steve jobs, mark zuckernberg (owner wa fesbuk) wote hao wali-drop out college... to me unaweza soma kidogo afu ukipata mwanga wakile ukipendacho ktk biashara ingia ufanye!
   
 8. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  elim ni bora hasa kama una malengo yakinifu
   
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nakushaur ukasome walau degree hasa ya bussiness matters(if u wish 2 a sussecful bussinessman) then ndo uelekee kwenye biashara..hpe it works...
   
 10. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Elimu huwezi kuikwepa,ni muhimu kupata elimu kiasi fulani kulingana na uhitaji wako.Hii itakusaidia ukitaka kufanya biashara utakuwa unaufahamu zaidi.Na hujasema biashara ya ukubwa gani ,kama ni zile za old school unaweza fanya bila elimu.Ila kwa dunia ya sasa unahitaji ufahamu(elimu) ktk kile unachotaka kufanya.Sijui level yako ya elimu,kuna elimu ya ujasiriamali,elimu siyo lazima uipate shule,unaweza kaa na watu wakakufundisha practically or theory.Elimu inakuongezea uwezo wa kufikiri na kuona kile ambacho mtu asiye na elimu hawezi kukiona.
   
 11. S

  Slaker JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kabisa mwana I concur wth u 100%.......even michael Dell(owner f dell pc) dropped college.........achana na diz damn edn.
   
 12. B

  Bankrupt Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kufanya vyote, itategemea na chuo unachotaka kwenda kusoma, na wewe mwenyewe utakavyopangilia muda wa shule na usimamizi wa biashara. kama upo interested na biashara ni vizuri ukasomea masomo ya biashara.
   
Loading...