azzle18
Member
- Jan 12, 2019
- 8
- 2
Kwani mradi wa mwendo kasi ni wa seriksli???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mradi wa Mwendokasi unawashinda bus zipo chache abiria wengi wataweza kununua korosho vijijini kila mtu alipwe na kusiwe na manung'uniko? labda wachukue bure kwa kuwaita watu kangomba na majina mengine ili kufanikisha zoezi la kupora mali za watu...
Sent using Jamii Forums mobile app