Lipeni wakulima wa korosho

Lipeni wakulima wa korosho

chikambabatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
1,382
Reaction score
1,349
Inadhihilika mkulima ajasaidiwa na ununuzi huu wa korosho.
Ni kweli wakangomba wapo na ni wachache, mnawatafuta kwa gharama ya wakulima ndio wanaoteseka.
Na ukweli kangomba haiwezi kufa, kwa kuwa watu wanashida za kweli, na chake ndio mtu utatulia matatizo yake.
Sasa wakulima huku kwetu wanauza vyeti, wapate fedha ili wapeleke watoto shule, wanunulie pembejeo na kulipa vibarua. Wasipofanya hivyo, hawata kuwa hata na chakula kwa siku za baadae,
Mimi sielewi wenyedhamana na malipo wanafikiri nini?
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
tapatalk_1542131904793.jpeg
 
Inadhihilika mkulima ajasaidiwa na ununuzi huu wa korosho.
Ni kweli wakangomba wapo na ni wachache, mnawatafuta kwa gharama ya wakulima ndio wanaoteseka.
Na ukweli kangomba haiwezi kufa, kwa kuwa watu wanashida za kweli, na chake ndio mtu utatulia matatizo yake.
Sasa wakulima huku kwetu wanauza vyeti, wapate fedha ili wapeleke watoto shule, wanunulie pembejeo na kulipa vibarua. Wasipofanya hivyo, hawata kuwa hata na chakula kwa siku za baadae,
Mimi sielewi wenyedhamana na malipo wanafikiri nini?
Walipoichagua ccm walijua wanawakomoa watanzania sasa hacha na wao wakomoke.

Mwanzo walidanganywa ktk gesi wakadanganyika na kuisupport ccm kisha wakadanganyika sasa koroshow, nadhani wasaliti hawa wa kusini wapambane tu na hali zao, sie wadanganyika wa kitambo watoto wetu tushapeleka shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la korosho hakuna anayesema ukweli, serikali wanasifu juhudi zilizokwisha kufanyika halafu huku tena wananchi nao wanapiga mayowe ya kudhulumiwa. Nani yuko sahihi
 
Mradi wa Mwendokasi unawashinda bus zipo chache abiria wengi wataweza kununua korosho vijijini kila mtu alipwe na kusiwe na manung'uniko? labda wachukue bure kwa kuwaita watu kangomba na majina mengine ili kufanikisha zoezi la kupora mali za watu...
 
Mmeyataka wenyewe, waliokuwa na akili zao walijiuzia korosho kwa 2500 had 2800. Waliobaki wakawaamini wanasiasa. Sasa imekula kwenu, huyu jmaa hanaga huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaopiga kelele hata mkorosho hawaujui unafananaje
 
Nyie si mligomea ile bei ya 2500 ya kwenye mnada? Ndipo mzee Magu alipo ingilia kati
 
Mmeyataka wenyewe, waliokuwa na akili zao walijiuzia korosho kwa 2500 had 2800. Waliobaki wakawaamini wanasiasa. Sasa imekula kwenu, huyu jmaa hanaga huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa waendelee kusulubishwa,maana waligomea ile bei ya 2500 mnadani..walidai wanataka 4000 kama ya kipindi cha nyuma..
 
Back
Top Bottom