Lipe jina hili kanisa

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
12661877_10204353769844697_4697624978319749958_n.jpg


12661783_10204353770724719_8672832495742543552_n.jpg


12647096_10204353770804721_4164444089499605640_n.jpg
 
Imenikumbusha wakati wa Kampeni watu walivyopigishwa push up!! Ok Jina litakuwa 'Bend Over Assembly of god'
 
..huenda ni maigizo tu kuna kitu mhubiri atakuwa ana - demonstrate , ila kama itakuwa ndiyo staili yao ya kuhubiri basi ipo shida hapo
 
ulokole shida

Sio shida mkuu,
Sema wengi walioko ndani yake wanakengeuka kinyume na kisingi yake na kuranya uonekane ni kituko na shida

Na wengi ni wanga tu wanaojivika vazi la kondoo wakiwa na mbwa mwitu
 
Ngoja tupandwe sana situnapenda miujiza ona sasaa maajabu ayoooo
 
Semina hiyo, huyo facilitator anaelekeza kwa vitendo kuvuta hisia za watu na kueleweka zaidi kwa hadhira
 
Back
Top Bottom