Lip Bum na Lip Stick za kwenye Salon!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lip Bum na Lip Stick za kwenye Salon!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Mar 21, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi hizi Lip Bum au Lip sticks ambazo dada zetu mnazikuta salon na kuanza kuzitumia kwa ku- share ziko vizuri kiafya kweli?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,958
  Likes Received: 2,629
  Trophy Points: 280
  sidhali....hata wanja pia....hujui imetumika na watu wa aina gani mtu unavamia tu....I hate it....
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  sio salama hata kidogo, kiukweli kabisa mavitu vitu ya saluni hayako salama hata kidogo.

  Mfano yale ya kutengeneza kucha, hatari tupu jamani lakini sijui wadada hawajui wa basi tu hawajali?

  Pale mwenge pale, utakuta wamepanga foleni ya pedicure na manicure, vifaa haviwi sterilized wala nini, anakwanguliwa mmoja na wewe unakaa wakitumie hivo hivo.....Jeeez ladies!

  Hayo ma lip bum na ma lip gloss, uchafu jumla, yaani naamini mdomo wa mtu kiasi gani hadi nishirikiane naye hayo mavitu? Yuuuuuuk....
   
 4. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,279
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  kwani hayo mambo yapo tu bado?
  Mi sijona kwa siku za karibuni, nlijua watu tushaelimika na kustaaribika vya kutosha.
  Utavamiaje lipstick au wanja ushatumika na watu wengine then na ww utumie?
  Sio akili za mwenye akili
   
 5. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,320
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  wa uswahilini ndio wanaenda paka Saloon, but kishua Saloon anaenda omba ushauri then anaingia market!
   
 6. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,320
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  sister duh tukuulize wewe! course wanawake wenzio ndio wanafanya hivo.
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Like.....

  Arusha pia ukipita maeneo ya stand kubwa utawakuta masista duuz wamepanga foleni, wanashare bila woga... Huwa nawashangaa sana manake sio salama kiafya. ..

  Masaluni ndio funga kazi, eti kuna lipstick, lipbum na wanja vimewekwa tu hapo kwa yeyote! Anapita mtu anachukua anapaka, akija mwingine hivyo hivyo afu unakutana na mdada analalamika eti mdomo unapasuka hovyo, hajui hiyo kushare ndio sababu... Hivi ni ukata wa kujinunulia vyao au?..
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ukata? Sidhani, maana wanja upo hadi wa mia mbili na lipbum pia.
  Labda kutofahamu au dharau tu. Kama huna hata vaseline tu paka midomo yako bana kuliko kwenda kuzoa fungus huko saluni.
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kweli bht... Eti mtu anatoka home kaulamba, powder, lipstick na wanja anapitia saluni kupaka!...
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,251
  Likes Received: 4,239
  Trophy Points: 280
  hazina uzuri wowote kiafya...

  ushashare vipi lipstick? wadada nao wanayaweza.......

  mwisho wapate fungus za midomo buuuure....
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,287
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hii mambo bado ipo sana ...na kwa asilimia kubwa..
   
 12. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  I never share those things...
   
 13. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Lucky you are my sister!!
   
Loading...