sio huyo,unajua spain majina ya gonzalez,lopez,torres,rodriguez yapo mengi ndio maana tunamalizia na majina matatu,ni sawa kina mwita chacha marwa kule Musoma,sasa huyu ni pedro rodriguez ledesma mzaliwa wa visiwa vya canary nchini spain,na huyu ni cesar rodriguez alvarez mzaliwa wa barcelona ambae ni marehemu kwa sasa na rekodi yake Messi kaipiku,kuna mchezaji wa zamani wa spain anaitwa luis suarez ukisema hapa wengi watasema baba au babu wa luis suarez wa liverpool,ndio maana kuna fernando torres llorente kid lion na fernando torres sanz el nino the kidKumbuka kuwa Messi kavunja rekodi mbili usiku wa leo. Ya kwanza goli 86 katika kalenda ya mwaka 2012 na ya pili mfungaji muhimu anaeongoza kwenye klabu yake wakati wote akimvuka baba'ke mzazi pedro rodriguez, cesar goli 190 kwa mechi 282yeye goli 192 kwa mechi 218