Lionel Messi aandika rekodi mpya ya dunia ya kufunga magoli mengi kwa mwaka

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,127
2,000
Dakika ya 28 ya mchezo kati ya Barcelona na Betis imeshuhudia Lionel Messi akiandika REKODI MPYA YA DUNIA kwa mchezaji wa mpira wa miguu kufunga mabao mengi katika mwaka mmoja.

Bao la pili la Messi katika mechi hiyo linamfanya afikishe mabao 86 kwa mwaka 2012 na kuivunja rekodi ya Gerd Muller wa Ujerumani aliyefunga magoli 85 mwaka 1972.

Najua wapenzi wa Christina Shusho....ah no, I mean Ronaldo mtakuwa mmejiunga na Pele wa Brazil kununa.
 
Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,740
2,000
Mwanangu umenena wapenzi wa Christina tayari watasema wote ni bora tu. Mkuu kavunja record ya rodriguez ceser ambaye alicheza mechi za ligi 282 na kufunga magoli 190 akiwa na Barcelona wakati messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii leo kafikisha magoli 192 baada ya kucheza mechi 218 za ligi kwa muda wote aliochezea Barcelona. Hivyo kuwa mfunguji muhimu wakati wote wa Barcelona
 
shizukan

JF-Expert Member
Jan 16, 2011
1,158
0
Na bado atavunja rekodi nyingi tu. Afya yake na umri bado vinamruhusu kumnyamazisha Pele na Neymar wake.

Kumchukia Messi ni kujitafutia ugonjwa wa moyo tu. Huyo Ronaldo atasubiri sana kwa mtoto wa Noriega
 
asrams

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
4,801

Kweli kabisa, Pele anampenda sana Neymar lakini ukweli Messi anatisha!! Huu ndo wakati wake

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,127
2,000
Na bado atavunja rekodi nyingi tu. Afya yake na umri bado vinamruhusu kumnyamazisha Pele na Neymar wake.

Kumchukia Messi ni kujitafutia ugonjwa wa moyo tu. Huyo Ronaldo atasubiri sana kwa mtoto wa Noriega

Nakwambia hii itawauma wananchi watakuwa wanachungulia, wanasonya, wanaenda MMU kuliwazana na manungayembe wa mtandaoni. Messi habari ingine bana
 
asrams

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
4,801
2,000
Ngoja kwanza nifurahie ball la uhakika...

Kusema ukweli, hakuna timu inapiga mpira wa kutoa raha 100% kama Barca...

Na Messi + Iniesta ndio ingini za timu

Hilo swala halina ubishi but R.Madrid wanapiga ngoma ya njaa! akiondoka Iniesta na Xavi shughuli imeisha

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,127
2,000
Hilo swala halina ubishi but R.Madrid wanapiga ngoma ya njaa! akiondoka Iniesta na Xavi shughuli imeisha

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

Wanaondoka kuelekea wapi?

Wa timu zingine hawaondoki?

Wengine hawazaliwi?

Mlisema hivyo hivyo walipoondoka Etoo na Ronaldinho, sasa watu wanakamua kama wamerogwa
 
Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,255
2,000
Hilo swala halina ubishi but R.Madrid wanapiga ngoma ya njaa! akiondoka Iniesta na Xavi shughuli imeisha

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

Kwa nini uwaondoe wakati wanachangia katika ufanisi wa timu?

Wakati unaondoa Iniesta na Xavi unatumia kanuni ipi ya FIFA?

Na upande wa pili nako tunaondoa au?

Hilo ndo swali la msingi!!

Barca ni timu ila bado kuna watu wanatoa mchango mkubwa na muhimu kwenye timu. Hizo experiments za kuwaondoa badhi ya wachezaji sina hakika zitakuwa zinalenga kutafuta kitu gani!!
 
asrams

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
4,801
2,000
Namaanisha wakinunuliwa na team nyingine! Mjomba Barca midifield ndo kila kitu.

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,255
2,000
Kuna kitu Messi kafanya muda mfupi uliopita ambacho si kawadia kabisa...karibia afunge goli katika mazingira ambayo hakuna mtu anaweza kutegemea jambo kama hilo...Alikiuwa katikati ya defenders akama 3 na bado kaweza kumiliki mpira na kupiga shuti golini...

Ni bahati mbaya kwamba mpira umegonga mwamba!!
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,127
2,000
Namaanisha wakinunuliwa na team nyingine! Mjomba Barca midifield ndo kila kitu.

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

Kwani hii iliopo uliitengeneza wewe? Wengine watasajiliwa bana. Kwanza labda uniambie wazeeke, ulishawahi ona timu ina-bid mchezaji wa Barca?

Pale hawaondoki mpaka Barca wenyewe wawaondoe. Ronaldo ndio ushindani umemshinda sasa anataka kutoroka
 
Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,255
2,000
Namaanisha wakinunuliwa na team nyingine! Mjomba Barca midifield ndo kila kitu.

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

Kwa nini unafikiria hivyo?

Kwa nini usifikirie kuwa wao Barca wanaweza kununua wachezaji wazuri wengine badala ya kuuza?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom