Lionel Messi aandika rekodi mpya ya dunia ya kufunga magoli mengi kwa mwaka

Kumbuka kuwa Messi kavunja rekodi mbili usiku wa leo. Ya kwanza goli 86 katika kalenda ya mwaka 2012 na ya pili mfungaji muhimu anaeongoza kwenye klabu yake wakati wote akimvuka baba'ke mzazi pedro rodriguez, cesar goli 190 kwa mechi 282yeye goli 192 kwa mechi 218
sio huyo,unajua spain majina ya gonzalez,lopez,torres,rodriguez yapo mengi ndio maana tunamalizia na majina matatu,ni sawa kina mwita chacha marwa kule Musoma,sasa huyu ni pedro rodriguez ledesma mzaliwa wa visiwa vya canary nchini spain,na huyu ni cesar rodriguez alvarez mzaliwa wa barcelona ambae ni marehemu kwa sasa na rekodi yake Messi kaipiku,kuna mchezaji wa zamani wa spain anaitwa luis suarez ukisema hapa wengi watasema baba au babu wa luis suarez wa liverpool,ndio maana kuna fernando torres llorente kid lion na fernando torres sanz el nino the kid
 
Why You should not compare LIONEL MESSI to GERD MULLER:

1. MESSI scored 86 goals in 86 appearences= 100%
MULLER SCORED HIS 85 goals in 60
appearences=141%
 
2. With his 86 goals, MESSI managed to win only 1
cup Copa Del Rey in 2012
MULLER won 3cups in 1972
 
3. 25 of 86 goals MESSI has scored this year are
penalties
MULLER scored 85 goals without a single penalty
 
4. MESSI has scored 52 goals out of 97 appearences
for his National team for 8yrs (2004-2012)=54%
MULLER scored 68 goals in 62 appearences for his
national team in 8yrs period (1966-1974)
 
Messi’s new record ‘was broken in 1972′
By Eurosport | World of Sport – 1 hour 7 minutes ago

moz-screenshot-5.jpg

Lionel Messi and Godfrey Chitalu
Lionel Messi has been showered with praise after establishing a new world record by scoring 86 goals in a calendar year.
Regardless of what you might think of calendar year as opposed to season-by-season records - our blogger Early Doors certainly did not approve - you can't help doffing your cap to the diminutive Argentine for his 86 goals in 2012. At the age of just 25 he is already a legend of the game, and even Gerd Mueller - the man whose record he took - has paid homage to him.
Yet it seems that Messi's latest entry in the footballing record books might be have to be scrubbed out: the Zambian FA have claimed that one of their own legendary strikers put the Barca star's tally in the shade way back in 1972.
Godfrey 'Ucar' Chitalu scored an astonishing 107 goals for Kitwe United that year, the same year that Mueller hit the previous mark of 85. Yet while Muller was feted for his brilliance, Chitalu was not recognised outside his homeland and it was the German's record that has stood for the last 40 years.
After a glittering career on the pitch, Chitalu was awarded a FIFA special award, and went on to become Zambia coach until he was tragically killed in the 1993 plane crash that wiped out an entire generation of the national team's finest footballers.
The Zambian FA are now trying to bring Chitalu the recognition he deserves for his achievement by trawling their archives for evidence of the 107-goal haul.
"We have this record, which has been recorded in Zambian football, but unfortunately it has not been recorded in world football," a spokesman told the Soccer Laduma website.
"Even as the world has been looking at Lionel Messi's record, breaking Gerd Mueller's, the debate and discussion back here has been why Godfrey's goals are not being recognised.
"What we are doing is, we have commissioned an independent team locally to go back into the archives and record minute by minute each of those goals.
"The team that we have put together is going to calculate all of those goals, recording which ever game or tournament they were scored in, we will then send that to CAF and FIFA so that we can show that, while Messi's record is there, while Mueller's record is there, the actual record holder in terms of goals per calendar year is actually an African, it's actually Godfrey Chitalu."
The Zambian FA have also reportedly contacted FIFA who said they had heard of Chitalu's claim and are "checking on it internally".
 
Wakuu hawa wazungu wanatuzuga tu goli 86 nini bwana kuna kitu toka Zambia kinaitwa Godfrey Chitalu ukipenda UCAR jamaa alitupia goli 107 msimu mmoja si sawa na mwaka mmoja. Jamaa alizaliwa tarehe 22 october 1947.Aliitwa UCAR nickname akifananishwa na zile betri za zamani zilizokua zinaitwa hivyo zilikua na chaji kali. Alikufa tarehe tarehe 22 April 1993 kwenye ajali ya timu ya Taifa ya Zambia akiwa kocha. Fuatilia hillo hawa wazungu hawataki rekodi zetu.
 
Oh please....kweli haters wa magician messi mna kazi mwaka huu!!!
 
Wakuu hawa wazungu wanatuzuga tu goli 86 nini bwana kuna kitu toka Zambia kinaitwa Godfrey Chitalu ukipenda UCAR jamaa alitupia goli 107 msimu mmoja si sawa na mwaka mmoja. Jamaa alizaliwa tarehe 22 october 1947.Aliitwa UCAR nickname akifananishwa na zile betri za zamani zilizokua zinaitwa hivyo zilikua na chaji kali. Alikufa tarehe tarehe 22 April 1993 kwenye ajali ya timu ya Taifa ya Zambia akiwa kocha. Fuatilia hillo hawa wazungu hawataki rekodi zetu.

Hapa hatuzungumzii mechi za mchangani
 
4. MESSI has scored 52 goals out of 97 appearences
for his National team for 8yrs (2004-2012)=54%
MULLER scored 68 goals in 62 appearences for his
national team in 8yrs period (1966-1974)

Nilijua tu atapatikana mshabiki wa Man Utd aje kuleta ngonjera na kukosoa. Mbona husemi basi overall Messi ana mataji mangapi na Mueller ana mangapi?

Kwa taarifa yako, huyu Messi ni mwaka huu ndio amepata nafasi ya kuichezea Argentina kama forward lakini huko mwanzo (hata kwenye World Cup) alikuwa akicheza kama namba 8 ilhali Gerd Mueller ni namba 9.
 
Samahanini wanajamvi kuna forums fulani ya nje wanadiscuss kama kuna uhusiano wa dini na kucheza football!

Kuna wanaoshikilia eti dini ina mchango wake ndio maana wachezaji footbal bora wote duniani waliopata kuweka record ni Wakatoliki! Wanaweka orodha ya Maradona, Pele, Ronaldo, Ronaldo Cristian, Messi, Inesta...nk.nk nyie mnalionaje hilo jambo? kuna ukweli wowote au unazi tu wa watu!

Hata George Weah ni Mkatoliki. Ila Zinedine Zidane ni Muislam
 
Huyu naye kakazaaaana na huyo mmatumbi wake. Messi anacheza TOP FLIGHT na sio mchangani.

Unaposikia Arsenal imeweka rekodi ya kumaliza ligi bila kufungwa usije na wewe ukaropoka ''na Simba..''

Soka lina namna yake ya kulikalikuleti bwana, sio unakurupuka tu na rekodi zako za Mbeya. Kuna mtu kule Scotland akiitwa Hendrick Larson alifunga mabao 51 ndani ya msimu mmoja lakini ndani ya msimu huo ni Thierry Henry ndio alitangazwa kuwa Europe's top scorer kwa mabao 28. Kinachofanyika ni kwamba, magoli ya Scotland unagawanya kwa 2 kupata uwiano wa England, Germany, Spain au Italy
 
Black continent siyo? Ila kwa uwekezaji mashamba ya bibi tunajulikana!! Pity on us!!

Mie sina uhakika kwamba katika Waafrica wote hakuna mzee kuliko huyo aliye kwenye Guinness Book of records.

Au hakuna anayeweza kwenda kasi kuliko Usain Bolt.

Kuna mtoto wa mitaani kavumbuliwa Uganda, hata kusoma hajui, lakini anapiga chess kama prodigy. Sasa wangapi hawajavumbuliwa bado? Kila siku tunasikia Kasparov, Karpov, Bobby Fisher etc

From slum life to Disney film: Ugandan teen chess star 'the ultimate underdog'

From slum life to Disney film: Ugandan teen chess star 'the ultimate underdog' - CNN.com
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom