Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Mie sina uhakika kwamba katika Waafrica wote hakuna mzee kuliko huyo aliye kwenye Guinness Book of records.
Au hakuna asiyeweza kwenda kasi kuliko Usain Bolt.
Kuna mtoto wa mitaani kavumbuliwa Uganda, hata kusoma hajui, lakini anapiga chess kama prodigy. Sasa wangapi hawajavumbuliwa bado? Kila siku tunasikia Kasparov, Karpov, Bobby Fisher etc
From slum life to Disney film: Ugandan teen chess star 'the ultimate underdog'
From slum life to Disney film: Ugandan teen chess star 'the ultimate underdog' - CNN.com
Mkuu hata mimi nilishangaa eti bibi wa miaka 116 ndiyo anaongoza wakati bibi yangu mzaa mama yangu yupo hai na ana miaka 120 plus!! Yuko strong na anaweza kuongea vizuri tu tena kiswahili. Na kusoma aliacha miaka ya karibuni tu. Hata dakika hii nikimpigia simu anapewa na anaongea na mimi na watoto, vitukuu anaulizia, etc. Yaani huwa nashangaa dunia kwa ujumla na ma utafiti yao uchwara.