LinkedIn na Wabongo, Tujitathmini

Ushawahi kutumia LinkedIn???? Mbona unaongea vitu ambavyo havipo. Kwanza haya unayoyasema hayawezekaniki huwez kukusanya taarifa za mtu bila ridhaa yake
 
Hakuna kitu kama hicho, never on earth kuna kitu kinaitwa Privacy, kwa sababu tu jina langu lipo kwenye tovuti ya Tanpol doesn't mean wewe una ruhusa ya kufanya chochote na taarifa zangu. Hakuna hicho unachosema sijui ni kitu gani mpwa
 
Ushawahi kutumia LinkedIn???? Mbona unaongea vitu ambavyo havipo. Kwanza haya unayoyasema hayawezekaniki huwez kukusanya taarifa za mtu bila ridhaa yake
Ilibidi nitafute msosi nile kwanza maana hata sikumuelewa kabisa kabisa, nnikajua ni Mimi tu na ubishi wangu wa kikwetu...
 
Kwa maelezo haya haujawahi kutumia LinkedIn hata siku moja.
 
Hahahaha LinkedIn yake binafsi tena? Hahahaha yeah niko na followers 15,000+ very impressive
 
Mhhhh hii kali .............. CHAI.
 
LinkedIn ni mtandao mzuri nautumia hata nafasi niliyoipata nilitumia huo mtandao Recruiter akasoma akaniita, na it's easy ku apply kule unaitwa hata interview.
 
Nenda kwenye profile yako, update information zako za kweli, then kila wakati tembelea kuangalia huko, kuna hadi Job Openings zinatumwa sana na kuna HRs wengi wana visit
Mimi nina akaunti kule ila adi sasa sjaona faida yake..mkuu nisaidie niweze kujenga good profile ili nipate kazi.
 
Umeongea jambo LA msingi sana mkuu hapa nimejifunza kitu kuna mkenya alinichek nikampotezea.
Ila wakumbuke pia kutumia Grammaly as plug in kwenye chrome and other browser kusupport uandishi na marekebisho ya grammar.

N.B mkumbuke kulipa kodi mkipata kazi
 
tunashukuru kwa ushauri na hongera pia kama ulifanikiwa kupitia hao LinkedIn
 
Siku hizi pia kuna few scammers kwahio mkuwe makini pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…