we kwani ada ya kozi ni ngapi? Mi nasemea hiki kiwango kwa BVM tu... May be kwa Engineers mtakuwa na Kiwango chenu
Hili ndilo la muhimu.Hongereni.
Kumbukeni kutumia hela kwa malengo kusudiwa, kisha msikose kuzilipa ili wengine nao waweze kukopa.
nimelamba milioni 3,867,000...vp wakubwa nyie mmelamba ngapi?
mkuu hongera sana mimi nimelamba milion 3955000 ingawa nimechaguliwa non priority course...sasa nifafanulie hivi hiyo pesa inamaanisha ni kwa mwaka mmoja au miaka yote nitakapokuwa chuoninimelamba Milioni 3,867,000...vp wakubwa nyie mmelamba ngapi?
teh! teh! teh! kijana hiyo ndo 100% na mimi nilie lamba Tsh.4,502,500/= niseme nimelamba % ngapi??
mkuu hongera sana mimi nimelamba milion 3955000 ingawa nimechaguliwa non priority course...sasa nifafanulie hivi hiyo pesa inamaanisha ni kwa mwaka mmoja au miaka yote nitakapokuwa chuoni
kijana watu tumelamba 4370500 hiyo tutaitaje..?
inategemea na Ada ya Kozi husika mi ada Ya kozi ni 1267000/= So uki calculate fresh unaangukia 100% We kwani ada Yako ni Ngapi?
we kwani ada ya kozi ni ngapi? Mi nasemea hiki kiwango kwa BVM tu... May be kwa Engineers mtakuwa na Kiwango chenu
Hiyo ni kwa mwaka mzima kaka
niangalizie mzamiru dauda na gabriel joseph benda